Air Zara International Yasimamisha Safari Zake

Air Zara International Yasimamisha Safari Zake

Ilulu

Senior Member
Joined
Mar 22, 2008
Posts
161
Reaction score
31
Hatimaye leo muda si mrefu nikiwa nawasiliana na wakala wa Usafiri wa Ndege, ameniarifu kuwa Kampuni ya Air Zara International imesitisha huduma zake until further notice. Niliulizia usafiri wa Dar-Mwanza-Dar.
Nakumbuka kumekuwa na vitimbi kadha wa kadha Air Zara wamekuwa wakifanyiwa hivi siku za karibuni, na wapo walioandika hapa jamvini... siikumbuki ile nyuzi (thread).

Matukio kama haya yalilikuta Kampuni ya Community Air na hatimaye kutoweka kabidsa katika anga ya Tanzania.

Ninachojiuliza, kwanini makampuni ya bei nafuuu katika huduma hasa hii ya usafiri wa anga hupata misukosuko mingi hapa Tanzania?

Bei ya return Ticket ya Air Zara Dar-Mwanza-dar ni Tshs 262,000 ambayo ni cheap mara dufu ulikilinganisha na Makapuni mengine.

Wenye taarifa ya kina tafadhali tufahamishane
 
You can have a cheap plane; never can you have cheap human life. This is what leades to our decisions, man.
 
Back
Top Bottom