Airbus welcome back party kufanyia mwenge

Parties kama hizi jiwe akishirikiana na rais wa Dar wanazibariki kwa mikono miwili!!

Lakini ikitokea watu wakaamua kufanya same party mfano ya kumkaribisha Lissu (ambazo kimsingi party zote mbili sio muhimu zifanyike)itaonekana ni uchochezi

This is Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…