Tetesi: Aircraft Model Has History of Landing-Gear Problems

Tetesi: Aircraft Model Has History of Landing-Gear Problems

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
Tumeingizwa choo cha walevi? [emoji481][emoji481]

Kithungu > Aircraft Model Has History of Landing-Gear Problems.

Mkalimani Please[emoji85][emoji85]

Msomaji wetu wa Tanzagiza bwana Laurent ([emoji120]) ametutumia link kutoka chapisho la Fox News la mwaka 2009

Inasemakana tumelipa "cash" [emoji85][emoji85],
US $62 million kwa ndege hizo mbili
Article hapo chini richa ya madai kuwa ndege hizo ni 'BOMU" according to the article, Pia inasemekana bei yake ni roughly $27 million kwa kila moja

Je tumeingizwa choo cha ....?
Au ni maneno tu ya 'Uchochezi' kutoka Fox News?

Article hiyo hapa [emoji116]

Aircraft Model Has History of Landing-Gear Problems
Published February 13, 2009 by FoxNews.com

The Canadian-built airplane that crashed into a suburb of Buffalo, N.Y., Thursday night was a Bombardier Q400, a commonly used model of medium-range passenger aircraft — but one with a troubling history of landing-gear problems.
Scandinavian Airlines pulled all 27 of its Q400s out of service permanently in the fall of 2007 after three of the planes experienced landing-gear failure within six weeks. Five people were injured when one of those planes crash-landed.
There is no indication that landing-gear problems played a role in the crash of Flight 3407 Thursday night. A fatal crash of a similar Bombardier aircraft in New Zealand in 1995 was caused by pilot error resulting from distraction over stuck landing gear.
Following the first two SAS incidents in September 2007, Montreal-based Bombardier and the Canadian transport authority recommended that all Q400s worldwide — roughly 160 planes — be grounded for inspection.
But after the third incident — and a Lufthansa Q400 that had to make an emergency landing in Munich when its front landing gear refused to deploy — SAS grounded all its Q400s for good in October 2007.
"Confidence in the Q400 has diminished considerably and our customers are becoming increasingly doubtful about flying in this type of aircraft," the head of SAS said at the time.
Bombardier ultimately reached a settlement with SAS and sold replacement short-haul aircraft to the airline at a discount.
Inspections of Q400 landing gears following the fall 2007 incidents found a remarkably rapid rate of corrosion in the landing-gear mechanisms, one that periodic inspections might not catch in time.
The inspection cycle for Q400s was sped up, and Bombardier management went through a personnel shakeup.
The Q400 model went into service in 2000, and Bombardier has sold about 300 at roughly $27 million each.
The plane is powered by twin Pratt and Whitney Canada PW150A turboprop engines, each of which spins a six-blade propeller. The Q400 has a top speed of about 410 mph, a top altitude of 27,000 feet, a maximum range of 1,500 miles, a wingspan of about 93 feet and a length of about 108 feet.
The Q400 is a variant of the very successful De Havilland Canada Dash 8, which first entered service in 1984, and a descendant of the smaller De Havilland Canada Twin Otter, first built in the mid-1960s and still in production. Military forces also use variants of the Dash 8.
"You'll find the Dash 8 at work in every part of the globe, from the Sahara to the Arctic and from the largest cities to the most remote airstrips," states the Bombardier Web site, which cites 23 commercial carriers worldwide as using the medium-capacity Q400.
Like the four-engine Dash 7, the two-engine Dash 8s are easily noticed for their "underslung" fuselage — the wings attach at the top of the body rather than at the bottom — and their high, T-shaped tails.
Bombardier acquired the De Havilland company in 1992 and redesigned the Dash 8 line to reduce noise, since many of its commercial customers operate the planes out of "city center" airports — hence the "Q" for "quiet" series.
Source Fox News
Link
Aircraft Model Has History Of Landing-gear Problems
 
Accordig to wikipedia unit cost ni 31.3mil usd ,
Ila kiukwel landing gear ni mtihan ,hata wikipedia wameandika.
Ila kwa stori kua ni used , kama ni kweli basi tumeingia Choo cha maninja lazima tutoke na damu. ...

Sijui watalamu nao watasemaje
 
passengers) 74-90
Urefu: (Length) 32.6 mita.
Kimo: (Height) 6.40 futi.
Upana: (Width) 8 futi.
Nguvu/Injini: (HorsePower)10,142 HP
Spidi: (AirSpeed) 666.7 Km/h

Umbali Inayoenda: (Max.Range) 2522.4 km.
Umbali Kuruka Juu: (Cruising Altitude) 27,000 futi.
Uzito Wa Kubeba: (Max Payload) 8.7 tani.
Full Tank: (Fuel Capacity) 6617 lita.

Mda Inayotumia Kufika Umbali wa Juu: (Time to Cruising Altitude)18 dak.
Urefu Njia ya kurukia: 1067mita
Urefu Njia ya Kutua : 1286mita Ulaji Mafuta: (Fuel Economy/Km) 16,940/-Tzs kila 1.8 km.

The Q400 has a top speed of about 410 mph, a top altitude of 27,000 feet, a maximum range of 1,500 miles, a wingspan of about 93 feet and a length of about 108 feet.
Hizi za sasa zime-adivance.
 
kwani article ni ya mwaka gani... ina maana kiwanda hawajiongezi wanapogundua system flan ilikua sio nzuri......kama ni zamani kidogo nafkiri hata bei ya sukari ilikua 1200 lkn leo cjui ni bei gani maana hata chai hatunywi...wengine tunawategemea magreat thinker mtulete habari...tupate kujifunza
 
hiyo article ya lini? hamuoni kuwa ndege inayoongelewa kuwa na tatizo la landing gear ni hiyo moja iliyoangukia msituni? na kwanini hizo ndege zinatumiwa na mataifa mengi tu leo hii katika usafiri wa anga mfano Ethiopia, Rwanda, Alaska (north america), n.k, au sisi ndio taifa la kwanza kuzinunua? acheni uoga pia mnawekeza nguvu nyingi kuwaaminisha watu kuwa hizo ndege ni hovyo lakini jueni tu kuwa tanzania haitakuwa nchi ya kwanza kuoperate hizo ndege kwani tayari wenzetu wanazitumia vizuri tu, tuacheni kuchochea hisia za mihemko mioyoni mwa watu tuweni wakweli.
 
Accordig to wikipedia unit cost ni 31.3mil usd ,
Ila kiukwel landing gear ni mtihan ,hata wikipedia wameandika.
Ila kwa stori kua ni used , kama ni kweli basi tumeingia Choo cha maninja lazima tutoke na damu. ...

Sijui watalamu nao watasemaje
Wataalamu si walienda hadi canada na wakapiga picha na ndege? Au utaalamu wao upo kwenye inj?
 
article ya mwaka 2009, kwamba mpaka leo watakuwa hawajashughulikia mapungufu ya landing gear na mengineyo
 
List of Bombardier Dash 8 operators - Wikipedia, the free encyclopedia

LUFT.jpg

* Picha: Aug 2014
 
Wabongo hebu acheni maneno yenu, subirini zifike kwanza mengine baadae.
Kwanza wengine hatujawahi kupanda hata ndege na tunategemea katika zile safari za majaribio nasi tupandemo kandege kama walivyofanya kwenye mwendokasi na treni za Dar es salaam.
 
Naandika kwa nia nzuri tu hapa sina chuki na ATCL, lakini naipenda sana nchi yangu Tanzania sababu nilizaliwa hapa na hata nikifa nitaomba nizikwe Tanzania na daima napenda kuona hili taifa likipiga hatua ya mafanikio kimaendeleo na hatimaye kuondokana na umaskini.
Siku ya jana alhamisi tarehe 1 Dec 2016 ndege aina ya Bombadier Q400 mali ya Shirika la ndege Air Tanzania, ilipata hitilafu kwenye uwanja wa ndege Arusha baada kushindwa kugeuka hali iliyosababisha abiria kushuka kwenye njia ya kuendeshea ndege (runway).
Tukio hili nalitazama kwa fikra pevu na umakini mkubwa sana sababu kubwa ni kuwa hizi ni ndege mpya na zimenunuliwa kwa kodi ya wananchi pia ni haki yangu kujadili, kupongeza kama mazuri yanafanyika, kuhoji, kukosoa na hata kupinga pale inapotakiwa kufanya hivyo.

Ndege iliyopata hitilafu jana kwa kushindwa kugeuka ni aina ya Bombadier Dash 8-Q400, hizi ndege zinatengenezwa nchini Canada na Bombardier Inc. ingawa zimekuwa kwenye Aviation Industry kwa muda mrefu lakini hizi ndege zina historia ya kuwa na matatizo ya landing gear.
Sehemu nyingi zilikotumika hizi ndege haya matatizo ya landing gear hujitokeza na kujionesha wazi tu.
Landing gear katika ndege ni gear ambayo hutumika katika takeoff na landing.
Hii shida ya la landing gear inaonekana kuwa ni default katika aina hii ya ndege na hakuna popote inapoonekana manufacturer kukubali hili tatizo hadharani na kurekebisha.
Kwa mtazamo wangu ni heri sana na wengi hufanya hivi hununua ndege na kulipia taratibu wakati wakiendelea kuichunguza kwa umakini kitu ambacho kwetu Tanzania hakikufanyika.

Kuna mambo ya kiutaalamu na ufundi zaidi inapaswa kuwaachia wataalamu wa fani hizo ili kushauri na kufanikisha siyo kila kitu ni kusikiliza wanasiasa wanaoongozwa na itikadi za vyama vyao wanaojali maslahi yao, kwao neno uzalendo haupo katika kamusi zao.
Wengi wa wanasiasa hawa wanatumia siasa za majitaka wakiongozwa na chuki, siasa za hila na fitina ili kufikia matakwa yao hata linapokuja suala la kitaifa.

Jukumu kubwa sasa inatakiwa libakie kwa raia wenye mapenzi mema na taifa hili kuweza kuwadhiti viongozi na wanasiasa wa hovyo kwa kuwapinga maana ni watu wabaya sana.

Dash-8-Q400: Why did they certify this beast?

UPDATE 3-SAS says to stop using Dash 8 Q400 after accidents

Aircraft that made emergency landing has history of landing gear issues
 
tulishasema hapa na record zipo zile ndege zina tatizo hilo tena kubwa sana ingawa wanadai ni zile za 2009 kurudi nyuma lakini si kweli sasa ile yetu imetua imeshindwa kugeuka na tyre zimegoma kukata kona.....tushukuru Mungu sana kile kizaazaaa.....nusu ya ajali ile
 
Tumeingizwa choo cha walevi? [emoji481][emoji481]

Kithungu > Aircraft Model Has History of Landing-Gear Problems.

Mkalimani Please[emoji85][emoji85]

Msomaji wetu wa Tanzagiza bwana Laurent ([emoji120]) ametutumia link kutoka chapisho la Fox News la mwaka 2009

Inasemakana tumelipa "cash" [emoji85][emoji85],
US $62 million kwa ndege hizo mbili
Article hapo chini richa ya madai kuwa ndege hizo ni 'BOMU" according to the article, Pia inasemekana bei yake ni roughly $27 million kwa kila moja

Je tumeingizwa choo cha ....?
Au ni maneno tu ya 'Uchochezi' kutoka Fox News?

Article hiyo hapa [emoji116]

Aircraft Model Has History of Landing-Gear Problems
Published February 13, 2009 by FoxNews.com

The Canadian-built airplane that crashed into a suburb of Buffalo, N.Y., Thursday night was a Bombardier Q400, a commonly used model of medium-range passenger aircraft — but one with a troubling history of landing-gear problems.
Scandinavian Airlines pulled all 27 of its Q400s out of service permanently in the fall of 2007 after three of the planes experienced landing-gear failure within six weeks. Five people were injured when one of those planes crash-landed.
There is no indication that landing-gear problems played a role in the crash of Flight 3407 Thursday night. A fatal crash of a similar Bombardier aircraft in New Zealand in 1995 was caused by pilot error resulting from distraction over stuck landing gear.
Following the first two SAS incidents in September 2007, Montreal-based Bombardier and the Canadian transport authority recommended that all Q400s worldwide — roughly 160 planes — be grounded for inspection.
But after the third incident — and a Lufthansa Q400 that had to make an emergency landing in Munich when its front landing gear refused to deploy — SAS grounded all its Q400s for good in October 2007.
"Confidence in the Q400 has diminished considerably and our customers are becoming increasingly doubtful about flying in this type of aircraft," the head of SAS said at the time.
Bombardier ultimately reached a settlement with SAS and sold replacement short-haul aircraft to the airline at a discount.
Inspections of Q400 landing gears following the fall 2007 incidents found a remarkably rapid rate of corrosion in the landing-gear mechanisms, one that periodic inspections might not catch in time.
The inspection cycle for Q400s was sped up, and Bombardier management went through a personnel shakeup.
The Q400 model went into service in 2000, and Bombardier has sold about 300 at roughly $27 million each.
The plane is powered by twin Pratt and Whitney Canada PW150A turboprop engines, each of which spins a six-blade propeller. The Q400 has a top speed of about 410 mph, a top altitude of 27,000 feet, a maximum range of 1,500 miles, a wingspan of about 93 feet and a length of about 108 feet.
The Q400 is a variant of the very successful De Havilland Canada Dash 8, which first entered service in 1984, and a descendant of the smaller De Havilland Canada Twin Otter, first built in the mid-1960s and still in production. Military forces also use variants of the Dash 8.
"You'll find the Dash 8 at work in every part of the globe, from the Sahara to the Arctic and from the largest cities to the most remote airstrips," states the Bombardier Web site, which cites 23 commercial carriers worldwide as using the medium-capacity Q400.
Like the four-engine Dash 7, the two-engine Dash 8s are easily noticed for their "underslung" fuselage — the wings attach at the top of the body rather than at the bottom — and their high, T-shaped tails.
Bombardier acquired the De Havilland company in 1992 and redesigned the Dash 8 line to reduce noise, since many of its commercial customers operate the planes out of "city center" airports — hence the "Q" for "quiet" series.
Source Fox News
Link
Aircraft Model Has History Of Landing-gear Problems
Kwani imethibitika kuwa tatizo la arusha ni landing gear? mbona ndege imegusa runway vizuri tu! hivi wameshatuambia tatizo ni nini? mbona tunaanza kusema kabla ya kujua tatizo ni nini? inawezekana ikawa kosa la rubani au eneo la mzunguko ni dogo. Kwa wakati huu ni busara kuongejea maelezo ya ATC/TAA. Hayo matatizo uliyoyataja hapo juu mbona yalirekebishwa kitambo tu na ndiyo maana kampuni hiyo imeendelea kuuza ndege nyingi zaidi kila mwaka?
 
Back
Top Bottom