Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Airtel tafadhalini msiniletee ujinga wenu wa meseji za Upige Mwingi, kwenye hizi meseji zenu eti mnanizawadia muda wa maongezi, meseji na mb za intaneti vyote hivi mnanitaka nianze kuvitumia kuanzia saa 6 kamili usiku na kuishia saa 12 alfajiri! Mimi siyo mwanga.
Niliponunua simu sikuwahi kuwaomba mnizawadie chochote kile na sikutarajia kuwa kila wakati nitakuwa napata meseji zenu za kijinga za Upige Mwingi, zinanipa usumbufu wa kuzifuta kila mara.
Acheni kunitumia mimi.