Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Sawa ndugu mwana Jf hatukutumii tenaAirtel tafadhalini msiniletee ujinga wenu wa meseji za Upige Mwingi, kwenye hizi meseji zenu eti mnanizawadia muda wa maongezi, meseji na mb za intaneti vyote hivi mnanitaka nianze kuvitumia kuanzia saa 6 kamili usiku na kuishia saa 12 alfajiri! Mimi siyo mwanga.
Niliponunua simu sikuwahi kuwaomba mnizawadie chochote kile na sikutarajia kuwa kila wakati nitakuwa napata meseji zenu za kijinga za Upige Mwingi, zinanipa usumbufu wa kuzifuta kila mara.
Acheni kunitumia mimi.
NakaziaHuuu ni mtandao wa hovyo sana...yaani nipo Dar tena mjini kabsaa ila network hakuna,unaongea na mtu mara sauti inakata kuna kuja makelele ya kutisha kwenye mawasiliano,msg unatuma haziendi cha kushangaza sana kwenye kipengele cha huduma za kifedha jamaa wanazingua,ukija kwenye menu ya vipengere vya kuchagua kutuma hela mitandao mingine zoezi linakwamia hapo,kununua umeme nako wamekula hela yangu tangu mwezi wa saba mpaka leo hawajarudisha msg ya Token za Luku,Kununua vifushi vya ving'amuzi huko ndo Majanga kabsaaa....Ila ukienda Ofsini kwao hapo morroco ofisi imejaaa watendaji kibao...Sasa sjajua shida ni nini?
Airtel tafadhalini msiniletee ujinga wenu wa meseji za Upige Mwingi, kwenye hizi meseji zenu eti mnanizawadia muda wa maongezi, meseji na mb za intaneti vyote hivi mnanitaka nianze kuvitumia kuanzia saa 6 kamili usiku na kuishia saa 12 alfajiri! Mimi siyo mwanga.
Niliponunua simu sikuwahi kuwaomba mnizawadie chochote kile na sikutarajia kuwa kila wakati nitakuwa napata meseji zenu za kijinga za Upige Mwingi, zinanipa usumbufu wa kuzifuta kila mara.
Acheni kunitumia mimi.
Mkuu simple ni kublock tu kwisha. Mimi msg yyt ya kipumbavu inakula ban naupiga mwingi kwa kublock msg za upige mwingi kwenye scoreboard inasomeka 1-1Airtel tafadhalini msiniletee ujinga wenu wa meseji za Upige Mwingi, kwenye hizi meseji zenu eti mnanizawadia muda wa maongezi, meseji na mb za intaneti vyote hivi mnanitaka nianze kuvitumia kuanzia saa 6 kamili usiku na kuishia saa 12 alfajiri! Mimi siyo mwanga.
Niliponunua simu sikuwahi kuwaomba mnizawadie chochote kile na sikutarajia kuwa kila wakati nitakuwa napata meseji zenu za kijinga za Upige Mwingi, zinanipa usumbufu wa kuzifuta kila mara.
Acheni kunitumia mimi.
Hauwezi kublock kwani nitazikosa msg muhimu toka kwao, ingekuwa siyo toka kwa huduma kwa jamii ningeblock.Mkuu simple ni kublock tu kwisha. Mimi msg yyt ya kipumbavu inakula ban naupiga mwingi kwa kublock msg za upige mwingi kwenye scoreboard inasomeka 1-1
Hii haiwahusu nyie wa nitumie kwenye ile namba.Sawa ndugu mwana Jf hatukutumii tena
πππ.Hii haiwahusu nyie wa nitumie kwenye ile namba.
Mimi tangu jana umekatamtandao wa Airtel kwangu umekata tangu asubuhi