Ni wezi sana tena siku hizi ukiweka credit ukizungumza tu simu moja kwa muda mfupi tena airtel kwa airtel pesa imeisha. Yaani si mtandao tena rahisi kama ilivyokua zamani. nimeacha kutumia mtandao huo ni heri nitumie mtandao mwingine hata kama nampigia simu mtu wa airtel.Nyie Airtel mnaofanya ni uhuni wa kitoto. Ninyi ni wezi wakubwa kabisa. Mmeweka huduma kwa wateja kwa malipo, sawa. Hii tabia ya kukata pesa ya mtu halafu katikati ya maongezi na wakati bado hujamaliza shida yako mnawaambia wateja subiri, then mnakata simu ili mteja apige tena huduma kwa wateja ni UHUNI NA WIZI. WEZI WAKUBWA SANA NINYI
Nyie Airtel mnaofanya ni uhuni wa kitoto. Ninyi ni wezi wakubwa kabisa. Mmeweka huduma kwa wateja kwa malipo, sawa. Hii tabia ya kukata pesa ya mtu halafu katikati ya maongezi na wakati bado hujamaliza shida yako mnawaambia wateja subiri, then mnakata simu ili mteja apige tena huduma kwa wateja ni UHUNI NA WIZI. WEZI WAKUBWA SANA NINYI
Nitabaki hapa airtel
Mitandao mingine kimeo zaidi
OTIS