Airtel! Airtel! Airtel! Sijafanya lolote lile mmeshamaliza kifurushi changu

Ngwakwiii

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2019
Posts
434
Reaction score
541
Nimekuita kwa majina matatu kwa uchungu kabisa ni leo tuu saa nne unusu nimejiunga na bandle la Tsh 2000 GB 1.1

Sijafanya lolote lile mmeshamaliza kifurushi changu? Wallah pepo mtaisikia law jirani nimewachukia sana sana.

Kwani wananchi tumewakosea nn ndg zetu
Screenshot_20220928-222525_Messages.jpg
 
Mimi bando lilisha kwa notifications tu Gb1 tokea siku hiyo kwa hasira nikaitupa laini chooni maana niliona hapo ndipo inapostahili na nimejiwekea azma nisiiitumie tena daima.
 
Mimi waliniibia hivihivi ila baadae niliwapigia na kuwafuata Twitter inbox wakarudisha pesa baada ya hapo sijawahi itumia Tena line yao

Screenshot_20220928-223421.jpg
 
Airtell ni mtandao wa hovyo kuwahi kutokea Tz watu wengi wanaulalamikia bando zao za internet ikufuatiawa na Halotel hawa nataka niweke ushahidi kabisa wa data usage details jinsi wanavyoiba.
 
Nimekuita kwa majina matatu kwa uchungu kabisa ni leo tuu saa nne unusu nimejiunga na bandle la Tsh 2000 GB 1.1
Sijafanya lolote lile mmeshamaliza kifurushi changu?
Wallah pepo mtaisikia law jirani nimewachukia sana sana
Kwani wananchi tumewakosea nn ndg zetu View attachment 2371045
We mteja mbona nasisi tunakutunzia Siri zako kuchukua tu hako ka buku mbili kako ndo utusengenye hivyo..!!
 
Nimekuita kwa majina matatu kwa uchungu kabisa ni leo tuu saa nne unusu nimejiunga na bandle la Tsh 2000 GB 1.1
Sijafanya lolote lile mmeshamaliza kifurushi changu?
Wallah pepo mtaisikia law jirani nimewachukia sana sana
Kwani wananchi tumewakosea nn ndg zetu View attachment 2371045
Nilidhani ni peke yangu tu Mimi juzi tu nimeweka Kifurushi cha MB 400 cha Wiki na huwa Naperuzi tu na sina Mambo mengi nimeshangaa kuona leo Asubuhi kimeisha.
.
Airtel badilikeni mnatuangusha mno tu.
 
Airtell ni mtandao wa hovyo kuwahi kutokea Tz watu wengi wanaulalamikia bando zao za internet ikufuatiawa na Halotel hawa nataka niweke ushahidi kabisa wa data usage details jinsi wanavyoiba.
Weka mkeka mezani nasisi tuweke wakwako Kama mbwai na iwe mbwai wateja wengine nyinyi nuksi tu kwanza umekaa kipanyaroad-panyaroad!.
 
Nimekuita kwa majina matatu kwa uchungu kabisa ni leo tuu saa nne unusu nimejiunga na bandle la Tsh 2000 GB 1.1

Sijafanya lolote lile mmeshamaliza kifurushi changu? Wallah pepo mtaisikia law jirani nimewachukia sana sana.

Kwani wananchi tumewakosea nn ndg zetu View attachment 2371045
Hii imenitokea juzi nmejiunga mara tatu hiyo bundle 1.1 na mara zote inaisha ndani ya 1hr pasipo kufanya chochote nikaona isiwe tabu nimaswitch internet to voda
 
baada ya watu kulalamika kuibiwa mb zao waziri mwenye dhamana aliwai kusema ,"bando linaisha haraka kwasabau hotsport huwa ipo on bila mweye simu kujua"kawatetea wanyonyaji kwa lugha nyepesi sana huyu waziri.
 
Nimekuita kwa majina matatu kwa uchungu kabisa ni leo tuu saa nne unusu nimejiunga na bandle la Tsh 2000 GB 1.1

Sijafanya lolote lile mmeshamaliza kifurushi changu? Wallah pepo mtaisikia law jirani nimewachukia sana sana.

Kwani wananchi tumewakosea nn ndg zetu View attachment 2371045
Ewaaa nilikuwa sijawahi kutumia huu mtandao ni wezi wa mchana mazingaombwe kibao
 
Weka mkeka mezani nasisi tuweke wakwako Kama mbwai na iwe mbwai wateja wengine nyinyi nuksi tu kwanza umekaa kipanyaroad-panyaroad!.
Nasubiri watume text ya umemaliza kifurushi chako nichukue Kaluu Nipigie hesabu nilinganishe na Mb nikizo ninja ingepungua hata moja nitawafikisha kwa Waziri Nape Nnauye na kufungua kesi ya madai dhidi yao .
IMG_20220928_225405.jpg

Waliowahi kuiba mb 127 kwany GB 2 sikuhifadhi ushahidi sasa Nape kanipanga nilete ushahidi kamili sasa nataka wajaribu safari hii
 
Vodacom wao ukiweka salio ukiacha ndani ya dk 10 utakuta limepungua
Umiwapigia wanadai eti ulijiunga na huduma fulani!
 
Hii imenitokea juzi nmejiunga mara tatu hiyo bundle 1.1 na mara zote inaisha ndani ya 1hr pasipo kufanya chochote nikaona isiwe tabu nimaswitch internet to voda
Voda uhakika mno hata wakisema Gb 3000 ninachowakubali linaisha kihalali mimi Mb 800 cha buku jero nilipeta siku tatu na nusu na nikiweza Mb za elfu tatu naenjoy kabisa.
 
Back
Top Bottom