We mteja mbona nasisi tunakutunzia Siri zako kuchukua tu hako ka buku mbili kako ndo utusengenye hivyo..!!Nimekuita kwa majina matatu kwa uchungu kabisa ni leo tuu saa nne unusu nimejiunga na bandle la Tsh 2000 GB 1.1
Sijafanya lolote lile mmeshamaliza kifurushi changu?
Wallah pepo mtaisikia law jirani nimewachukia sana sana
Kwani wananchi tumewakosea nn ndg zetu View attachment 2371045
Nilidhani ni peke yangu tu Mimi juzi tu nimeweka Kifurushi cha MB 400 cha Wiki na huwa Naperuzi tu na sina Mambo mengi nimeshangaa kuona leo Asubuhi kimeisha.Nimekuita kwa majina matatu kwa uchungu kabisa ni leo tuu saa nne unusu nimejiunga na bandle la Tsh 2000 GB 1.1
Sijafanya lolote lile mmeshamaliza kifurushi changu?
Wallah pepo mtaisikia law jirani nimewachukia sana sana
Kwani wananchi tumewakosea nn ndg zetu View attachment 2371045
Weka mkeka mezani nasisi tuweke wakwako Kama mbwai na iwe mbwai wateja wengine nyinyi nuksi tu kwanza umekaa kipanyaroad-panyaroad!.Airtell ni mtandao wa hovyo kuwahi kutokea Tz watu wengi wanaulalamikia bando zao za internet ikufuatiawa na Halotel hawa nataka niweke ushahidi kabisa wa data usage details jinsi wanavyoiba.
Hii imenitokea juzi nmejiunga mara tatu hiyo bundle 1.1 na mara zote inaisha ndani ya 1hr pasipo kufanya chochote nikaona isiwe tabu nimaswitch internet to vodaNimekuita kwa majina matatu kwa uchungu kabisa ni leo tuu saa nne unusu nimejiunga na bandle la Tsh 2000 GB 1.1
Sijafanya lolote lile mmeshamaliza kifurushi changu? Wallah pepo mtaisikia law jirani nimewachukia sana sana.
Kwani wananchi tumewakosea nn ndg zetu View attachment 2371045
Ewaaa nilikuwa sijawahi kutumia huu mtandao ni wezi wa mchana mazingaombwe kibaoNimekuita kwa majina matatu kwa uchungu kabisa ni leo tuu saa nne unusu nimejiunga na bandle la Tsh 2000 GB 1.1
Sijafanya lolote lile mmeshamaliza kifurushi changu? Wallah pepo mtaisikia law jirani nimewachukia sana sana.
Kwani wananchi tumewakosea nn ndg zetu View attachment 2371045
Nasubiri watume text ya umemaliza kifurushi chako nichukue Kaluu Nipigie hesabu nilinganishe na Mb nikizo ninja ingepungua hata moja nitawafikisha kwa Waziri Nape Nnauye na kufungua kesi ya madai dhidi yao .Weka mkeka mezani nasisi tuweke wakwako Kama mbwai na iwe mbwai wateja wengine nyinyi nuksi tu kwanza umekaa kipanyaroad-panyaroad!.
Voda uhakika mno hata wakisema Gb 3000 ninachowakubali linaisha kihalali mimi Mb 800 cha buku jero nilipeta siku tatu na nusu na nikiweza Mb za elfu tatu naenjoy kabisa.Hii imenitokea juzi nmejiunga mara tatu hiyo bundle 1.1 na mara zote inaisha ndani ya 1hr pasipo kufanya chochote nikaona isiwe tabu nimaswitch internet to voda
Hao ndo Freemason sasa..😀Vodacom wao ukiweka salio ukiacha ndani ya dk 10 utakuta limepungua
Umiwapigia wanadai eti ulijiunga na huduma fulani!