Jiunge na tritel mpendwa then kila kitu kitakuwa muruwaaaaa
nimeamua kuipumzisha zain sasa naenda zantel rasmi...
nimeshannunua voda mobile partner na line ndio nachukua zantel ili kuipa sapoti line ya mobitel maana tunachakachuana tu sasa hivi bongo...Zantel, ndio hivyo kabisa siku hizi... Zantel ni ghali sana kwenye upande wa kupiga na kupokea... kwenye Internet wamekuwa Slow sana siku za hivi karibuni.
Kitu kingine grarama zipepanda ghafla bila hata kutujulisha. Tangi ianze kuitwa hilo jina ni kiama! naipumzisha hio line kwa muda mpaka kitakapoeleweka
Jiunge na tritel mpendwa then kila kitu kitakuwa muruwaaaaa