Dah... tangu jana hakuna kinachotoka wala kuingia, si email, si web browser wala kupiga simu..
hakuna chochote zaidi ya wizi tu aisee, ngoja tuone watatuambia nini tutakapoomba print outs za call details
AIRTEL NI AIR TELE YANI HEWA TUPU, HAKUNA KITU, AU HATA TUITE UTUPU

Mkuu taska, nilichofanya ndiyo hatua niliyochukua baada ya kutafakari au uadhani tafakari chukua hatua maana yake nini? i just did that sirKaka yaani tatizo dogo kama hilo unalianzishia thread eti unatishia kuhama? Hujatuambia ulijaribu kutafuta assistance wakashindwa kukusaidia! Tatizo laweza kuwa wameku-disconnect kutokana na kutolipa bill,eneo ulilopo halina Network etc. Kila mtu akipata tatizo kwenye mtandao aanzishe thread si itakuwa balaa... TAFAKARI CHUKUA HATUA!
nimeamua kuipumzisha zain sasa naenda zantel rasmi...
nimeshannunua voda mobile partner na line ndio nachukua zantel ili kuipa sapoti line ya mobitel maana tunachakachuana tu sasa hivi bongo...
Jiunge na tritel mpendwa then kila kitu kitakuwa muruwaaaaa
Mimi kitu chochote kinacholetwa na wahindi huku Afrika nina mashaka nacho sana!! Hii airtele sina imani nayo kabisa!!
" Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza" kumbuka hii kitu ilizinduliwa na Kikwete Bomu na ni ya wahindi mmesahau ya TRL na badoDah... tangu jana hakuna kinachotoka wala kuingia, si email, si web browser wala kupiga simu..
hakuna chochote zaidi ya wizi tu aisee, ngoja tuone watatuambia nini tutakapoomba print outs za call details
AIRTEL NI AIR TELE YANI HEWA TUPU, HAKUNA KITU, AU HATA TUITE UTUPU
" Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza" kumbuka hii kitu ilizinduliwa na Kikwete Bomu na ni ya wahindi mmesahau ya TRL na bado
from zantel to other operators 1.99TzsZantel, ndio hivyo kabisa siku hizi... Zantel ni ghali sana kwenye upande wa kupiga na kupokea... kwenye Internet wamekuwa Slow sana siku za hivi karibuni.
Mkuu taska, nilichofanya ndiyo hatua niliyochukua baada ya kutafakari au uadhani tafakari chukua hatua maana yake nini? i just did that sir
Hivi utawacontact vipi wakti simu iko silent kabisa for over 12 hours na nikilwa jimboni kwa mnyika sijavuka hata kibo? the phone went silent, emails nehi che na mtandao kwish nehi barrchee
I did what i thought it was good na wala sitishii kuhama aisee, ilili iweje, hivi usawa huuu mtu anatishia kuhama line? si anakwenda kwa provider anachukua like anasajili anahamisha namba na kuanza mbele... au ??
BTW, i thought of PM-ing you jana jioni maana kuna posts fulani nilikua nasoma nikahisi uko coversant sana na mambo ya provider wa mobile servcies, lakini ndo hivyo tena my hands were tied