haaa kwa mshahara huo afadhali niuze chipsi...na degree yangu ya uzamili nikafanye mautumbo hayo..no way
Sio laki mbili na sabini bali ni laki moja na nusu penyewe unafanya kazi kuanzia saa kumi na mbili hadi saa nne usiku
Duh inazidi kupungua tu, toka 450 mpaka 150 kama biashara za wa machinga, muhindi hafai kwa mtindo huu.
kajaribu kaka siombaya ni heri uanze ukiona haikulip then unaweza ukaipotezea kuliko kukata tamaa kabisa nivizuri kujaribu jambo mwenyewe kuliko kusikiliza maneno yawatu ingawa kweli salary yake ni laki mbili sabini\
labda awe anatokea nyumbani, ila kama yupo gheto ataishije. Bora uwe machinga, kuliko kuwekana saa 12 asubuh mpaka saa 4 usiku kwa 270,000