Airtel Customer Care Branch ya Morogoro mjini mbadilike

Airtel Customer Care Branch ya Morogoro mjini mbadilike

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Nawashauri Airtel Customer Care Branch ya Morogoro mjini mbadilike, ikibidi basi uongozi utoe mafunzo ya ku smile au hata kutumia dawa maalumu (stimli) ya kuwawezesha watu wa front desk kutabasamu wanapoongea na wateja wao, kumkunjia uso mithili ya uso wa mbuzi na kutomjibu mteja hakustawishi kampuni.

Naamini ujumbe umefika kwa wahusika
 
Back
Top Bottom