Nawashauri Airtel Customer Care Branch ya Morogoro mjini mbadilike, ikibidi basi uongozi utoe mafunzo ya ku smile au hata kutumia dawa maalumu (stimli) ya kuwawezesha watu wa front desk kutabasamu wanapoongea na wateja wao, kumkunjia uso mithili ya uso wa mbuzi na kutomjibu mteja hakustawishi kampuni.
Naamini ujumbe umefika kwa wahusika