Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
Wakuu habari za mchana,
Hivi airtel leo wanafanya makusudi au? Maana nimehamisha hela kutoka airtel kwenda bank tangia asubuhi saa moja ila hadi sasa hela haijafika destination. Napiga simu huduma kwa wateja tangia hiyo saa moja naambulia kusikilizishwa matangazo sababu eti wanapokea simu nyingi..... Tangia saa moja hadi sasa saa saba kasoro kweli? Airtel mmenilostisha sana leo.