Unawapigia kwa namba gani mzee? Maana mie nimewapigia kwa 100 tangu wiki ilopita naambulia kusikiliza matangazo ya huduma tu lakini option ya kuongea na mtoa huduma haipoWakuu habari za mchana,
Hivi airtel leo wanafanya makusudi au? Maana nimehamisha hela kutoka airtel kwenda bank tangia asubuhi saa moja ila hadi sasa hela haijafika destination. Napiga simu huduma kwa wateja tangia hiyo saa moja naambulia kusikilizishwa matangazo sababu eti wanapokea simu nyingi..... Tangia saa moja hadi sasa saa saba kasoro kweli? Airtel mmenilostisha sana leo.
kwa 100 mkuuUnawapigia kwa namba gani mzee? Maana mie nimewapigia kwa 100 tangu wiki ilopita naambulia kusikiliza matangazo ya huduma tu lakini option ya kuongea na mtoa huduma haipo
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
Ni namba ngapi unabonya ili kuunganishwa na mtoa huduma?kwa 100 mkuu
shukran mkuu, ila why wanakwepa kuongea na wateja wao? yaani hadi uwaombe?Planett @wagosasa hivi huwezi kuongea na mtoa huduma kupitia # 100. Inabidi uwaandikie e-mail kisha wao ndio wakupigie Tanzania’s leading provider of prepaid, postpaid mobile, Internet services & Mobile Money.
nimejaribu, nimejaza details wanazotaka lakini inakataa kusubmit mkuu...Planett @wagosasa hivi huwezi kuongea na mtoa huduma kupitia # 100. Inabidi uwaandikie e-mail kisha wao ndio wakupigie Tanzania’s leading provider of prepaid, postpaid mobile, Internet services & Mobile Money.
Planett @wagosasa hivi huwezi kuongea na mtoa huduma kupitia # 100. Inabidi uwaandikie e-mail kisha wao ndio wakupigie Tanzania’s leading provider of prepaid, postpaid mobile, Internet services & Mobile Money.
Dah! Huo sasa ni uhuni ulovuka mipaka.Planett @wagosasa hivi huwezi kuongea na mtoa huduma kupitia # 100. Inabidi uwaandikie e-mail kisha wao ndio wakupigie Tanzania’s leading provider of prepaid, postpaid mobile, Internet services & Mobile Money.
nimefanikiwa kuongea nao kupitia 100 fanya hiviNi namba ngapi unabonya ili kuunganishwa na mtoa huduma?
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app