Natoa malalamiko yangu kwa kampuni ya Airtel kwa kupandisha gharama za upigaji simu airtel kwenda airtel bila kutujulisha sisi wateja.<br>Nasema hivyo kwakuwa sasa wanalipisha shilingi 6 kwa sekunde baadala ya shilingi 1 kwa sekunde kama ilivyokuwa awali.<br> Kama imetokea kwa bahati mbaya watoe tamko au warudishe hela yetu kwa muda ambao wamefanya hivyo.<br><br>Nawakilisha.
Siku hizi mitandao yote imepandisha bei. Hakuna hata kampuni moja inayotangaza nusu bei wala shilingi kwa sekunde kama siku za nyuma (Labda Airtel 2.5 kupiga nje ya nchi tena E-Africa tu).