mpingauonevu
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 621
- 433
sasa kama namba wewe umeona iko sawa inamaana nakosea kubonyeza kitufe cha kijani? au nabonyeza wapi?Itakuwa kuna sehemu unakosea,maana mi natumia namba hiyo na kuchagua kifurushi na wala hamna tatizo lolote.