Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Airtel mtandao wa ovyo sana na ambao hawana hata shukrani na bila Timiza na uwezo wangu mkubwa wa kukopa hadi 1m now(ukiachana na interest rate zao which are high) ningeshatupa line zaman.
Yaani Upo kat kat ya mji bado 4G ya magumashi Yaani hata 3G ya Voda ipo faster. Pili kudandia technology wasiyoweza km Master card na app. App mwaka jana Nipo abroad naambiwa I can't use it mpk niwe na bundle ya Airtel na hapo Airtel haishiki uko nilipo na pia network ilikata na I can't access my money na Airtel money app haifanyi kazi; nilitaman nife hadi naomba msaada from my friends TZ wawapigie wanisaidie; worthless kabisa can't even help.
Sasa now master card yao nimeweka nilipe coz my other cards have expired inagoma napiga cm Airtel Au kw maduka yao...oh huduma haipatikan kwa sasa?? Ivi hawa watu wapo serious and hata hawasemi lini it will be available. Stupid kabisa