Airtel "Imeolewa" na Diamond - lakini Je, huduma zimeboreshwa?

Wapo tena wengi,baadhi ya wabongo tunapenda umbeya na kiki,so jamaa audience kaigeuza kuwa hela.
Ila haya yana mwisho mtu muongo siku zote hata akija kusema ukweli bado huta muamini. Anyway labda ndio business zetu na watu wetu wanapenda hivi baya zaidi na Airtel they cheat to people hawana tofauti.
 
Mziki si kazi ya milele unapokuwa wa moto ndio mda wa kupiga hela, tengeneza kiki inayo kuingiza hela na kwa kuwa wabongo walio wengi wanapenda kiki na umbeya, dogo katumia fursa kutengeneza hela.

Siku akikaa pembeni anakuwa anapigia hesabu hela zake. Halafu husichukulie vitu serious hasa vya mitandao, hii ni biashara na airtel wanatafuta soko na wamefanikiwa kwani wengi wamelifuatilia. Ukivichukulia vitu vya social networks serious kuna siku vinaweza kukuvuruga na kukuchukulia mda wako.
 
Ila haya yana mwisho mtu muongo siku zote hata akija kusema ukweli bado huta muamini. Anyway labda ndio business zetu na watu wetu wanapenda hivi baya zaidi na Airtel they cheat to people hawana tofauti.
Wamefanikiwa wametengeneza attention na watu wakaamini.
Ela amepga maisha inasonga.
 
Ni kweli wala simlaumu Diamond na team yake wako sawa tu tumia fursa basi ila mimi kama mimi siwezi kuhamia mtandandao eti kwa sababu Joti sijui nani yuko huko, najiongeza najuwa mtandao gani unatoa huduma bora.
 
Wewe kama huwezi wengine wanaweza, husicho kipenda ww husizani kwamba kila mtu hakipendi na vizuri unatumia uhuru wako wa kuchagua kama wengine wanavyo chagua mitandao mengine.
 
Wamefanikiwa wametengeneza attention na watu wakaamini.
Ela amepga maisha inasonga.
Airtel ndio waje watuletee mrejesho baada ya kiki hii wameongeza mauzo kiasi gani? na uhakika hakuna kitu ni yaleyale sababu Net yao iko very poor huko ndio wanatakiwa waboreshe kitu kizuri kinauzika tu watu wanaambiana tu bwana Airtel siku hizi wako speed na vifurushi bei poa watu wanakuja. Mimi sijashawishika na Airtel net iko very poor
 
Mkuu mimi ninaitumia internet yao hapa kwangu iko saf kabisa sema kuna siku wamenpga pesa halafu wakazngua
 
Mkuu mimi ninaitumia internet yao hapa kwangu iko saf kabisa sema kuna siku wamenpga pesa halafu wakazngua
Pole sana mimi kwa kweli sina shida nao sana ila kwenye Net ndio shida yangu na wao kuna wakati unaona kabisa 4G signal lakini net slow na wakati 4G inapotea na hapo niko town kabisa uko mtandandao mwingine sitaki kutaja jina nikaonekana nawapigia promo kwenye Net wako vizuri muda mwingi
 
Voda wana internet nzur sana ina kas nzur sana nawakubali
 
Kwangu mm ndio mtandao pendwa,maisha yangu ni pori kwa pori sehemu nyingi Airtel inapatikana
 
Niseme tu ukweli nikiacha kutumia airtel mwaka 2011.. kwa sababu ya matatizo yao ya kimtandao mara kwa mara na huduma zisizoridhisha
 
Airtel kwa dakika tu utainjoi sana ila MB sishauri yaani MB zinapukutika kwa spidi ya ajabu, Airtel angalieni jinsi mtandao wenu unavyofeka MB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…