sawa uko sahihi lakini swali langu hao airtel baada ya kupigiwa simu wakarudisha hela sasa hiyo hela waliyorudisha kwenye akaunti ya mteja airtel wameitoa wapi je,ni kwa wakala{hapa wakala aingie hasara mara mbili} au ni airtel money ndio wanatumia hela yao ya kampuni kumpa mteja bure kama kumfidia.? jambo ambalo haliwezekani watarudisha hela kwa wateja wangapi ikiwa watafanya hivyo.! maelezo yako bado hayajabalansi ikiwa pesa ishatolewa airtel wametoa wapi pesa ya kukurudishia ww je,kwa wakala au wao airtel wanakupa pesa ya bure.?Kuna wakati umenielewa vizuri na kuna wakati hujanielewa, baadhi ya maelezo yako ni sahihi.
KI ufupi ni kuwa, aliyetapeliwa kwa uzembe wake, yeye alichofanya ni kupiga simu Airtel akasema muamala urudishwe, ukarudishwa bila yule wakala kupigiwa Simu. Kumbuka wakala alimuhudumia tapeli kama anamuhudumia mteja mwingine, maana alifika akaomba kutoa Airtel Money, akatoa kweli, akapewa Cash yake, Kwa nini Airtel walivyopigiwa simu warudishe wakarudisha tu kirahisi? Ndio msingi wa Swali lao pia, kuwa basi wengi sana watatapeliwa kama simu ikipigwa tu Muamala unarudishwa...mtu atatoa hela mtaa A zen anazunguka Mtaa B anapiga simu kuwa anaomba muamala urudishwe anarudishiwa.
Cha kujiuliza, kwa nini iwe Airtel tuu, angalia hata humu jamvini, wanaolalamika ni kuhusu Airtel tuu, kwa nini iwe kwao tu?
sidhani kama kuna kitu kama hicho huyu mtoa mada kuna sehemu anajichanganya au hana taarifa sahihi au ni habari za kusikia tu mahali kaleta humu..labda angesema mteja akaunti yake ya airtel money ilidukuliwa na wahuni wakawa wanahamisha pesa kwenda akaunti nyingine ili wakaitolee huko lakini mteja akashtuka mapema akawahi kupiga simu airtel nao airtel money wakawahi fasta kurudisha muamala kabla wahuni hawajatoa pesa hivyo wakawa wamewahiwa..ila hio ya mleta mada eti hela ishatolewa tayari pengine hata ishatumika alafu mtandao wakurudishie ww bure hela iliyotolewa.! itakuwa ajabu la duniaNaomba kujifunza
Hivi hela iliyotolewa cash kwa wakala unaweza ukapiga simu mtandao husika na muamala kurudishwa?
Kama hujaelewa uliza!!sidhani kama kuna kitu kama hicho huyu mtoa mada kuna sehemu anajichanganya au hana taarifa sahihi au ni habari za kusikia tu mahali kaleta humu..labda angesema mteja akaunti yake ya airtel money ilidukuliwa na wahuni wakawa wanahamisha pesa kwenda akaunti nyingine ili wakaitolee huko lakini mteja akashtuka mapema akawahi kupiga simu airtel nao airtel money wakawahi fasta kurudisha muamala kabla wahuni hawajatoa pesa hivyo wakawa wamewahiwa..ila hio ya mleta mada eti hela ishatolewa tayari pengine hata ishatumika alafu mtandao wakurudishie ww bure hela iliyotolewa.! itakuwa ajabu la dunia
Mkuu mambo vipi..kuna story yoyote umeleta hivi karibuni?Yawezekana wao wamedili na Wakala kwasababu uenda zipo hatua ambazo Wakala kabla hajakupa pesa inapaswa uzifuate,ikiwemo kutoa kitambulisho
Sasa kama Wakala hakufuata hizo hatua itakuwa imekula kwake!,makao makuu wao si wendawazimu tu kumrudishia pesa mteja halafu Wakala akala hasara,ukweli ni huo!
Haiwezekani laini mbili namba ileile kuwa hewani kwa wakati huwo huwo,ni lazima mojawapo iwe haifanyi kazi.Inawezekana vipi laini 2 za namba moja zikawa hewani kwa wakati mmoja. Unapo swap maana yake unaiua mojawapo ya laini!
Mkuu mambo vipi..kuna story yoyote umeleta hivi karibuni?
mbona nimeuliza mara nyingi tu kwamba tapeli baada ya kutoa hela cash ww umedai huo muamala ukarudishwa..swali airtel money kama kampuni wametoa wapi pesa hio ya kukurudishia wakati pesa ishatolewa na kutumiwa..swali airtel wakurudishie hiyo hela kwa msingi upi je,wanamkata wakala uliyetoa hela kwake {hapa anaumizwa mara mbili} au airtel wanachukua hela yao kukupa ww.? story yako imekosa balansi hapo maana hutoi jibu la kueleweka husemi ilikotolewa pesa iliyorudishwa hali ya kuwa ushatoa cash kwa wakala sasa unarudishiwaje hiyo hela kutoka wapi.? kwani ipo wazi mitandao hawarudishi hela iliyokwishatolewa cash labda iwe imehamishwa tu kwenye namba nyingine..acha kutunga habari za uongo zisizo na uhalisia na kama unasema kweli kuhusu hii story yako tuambie pesa iliyotolewa cash inarudishwa kivipi na kutokea wapi.?Kama hujaelewa uliza!!
Kuna mdada anayeishi Tabata, ambaye aliwasajiliwa laini na mawakala wa Airtel waliokuwa wakipita mitaani.
Bila yeye kujua, mawakala hao walifanya SIM swap kwenye laini yake. Baadaye, wale waliosajili laini hiyo waliitumia kwenda kwa wakala wa Airtel Money na kutoa pesa kwa njia halali—simu ikiwa na laini sahihi, namba ya siri ikiingizwa, na pesa ikitoka kama kawaida.
Wakala, bila kujua kuwa anahudumia tapeli, alitoa pesa taslimu.
Mdada aliyekuwa mmiliki wa laini hiyo alikuja kugundua kuwa pesa zake zimetolewa alipokea ujumbe wa uthibitisho.
Alipopiga simu Airtel Money, fedha zake zikarudishwa bila hata wakala aliyetoa pesa kuarifiwa. Matokeo yake? Wakala wa Airtel ndiye aliyebaki amepoteza pesa, huku mdada akirejeshewa hela yake bila matatizo.
Sasa, Airtel Money inawalinda vipi mawakala wao dhidi ya hali kama hii? Inawezekanaje fedha zirudishwe bila hata mawasiliano na wakala aliyetoa huduma?
Je, mawakala ndio waendelee kubeba mzigo wa uzembe wa wateja?
Hii ndio sababu watu wengi wanakimbia mtandao wenu!
Utapeli mwingi wa sasa unahusisha mtandao wa Airtel—ni kweli hamjui kinachoendelea au mnafurahia michezo hii?
Kwa nini malalamiko mengi yanawahusu nyie tu?
Mtoa mada hapo kaingia chaka mbayaaa mbovu..ila ujumbe umewafikiaInawezekana vipi laini 2 za namba moja zikawa hewani kwa wakati mmoja. Unapo swap maana yake unaiua mojawapo ya laini!
Mtoa maada naomba kujua kama una uzoefu wowote katika biashara ya miamala?Kuna wakati umenielewa vizuri na kuna wakati hujanielewa, baadhi ya maelezo yako ni sahihi.
KI ufupi ni kuwa, aliyetapeliwa kwa uzembe wake, yeye alichofanya ni kupiga simu Airtel akasema muamala urudishwe, ukarudishwa bila yule wakala kupigiwa Simu. Kumbuka wakala alimuhudumia tapeli kama anamuhudumia mteja mwingine, maana alifika akaomba kutoa Airtel Money, akatoa kweli, akapewa Cash yake, Kwa nini Airtel walivyopigiwa simu warudishe wakarudisha tu kirahisi? Ndio msingi wa Swali lao pia, kuwa basi wengi sana watatapeliwa kama simu ikipigwa tu Muamala unarudishwa...mtu atatoa hela mtaa A zen anazunguka Mtaa B anapiga simu kuwa anaomba muamala urudishwe anarudishiwa.
Cha kujiuliza, kwa nini iwe Airtel tuu, angalia hata humu jamvini, wanaolalamika ni kuhusu Airtel tuu, kwa nini iwe kwao tu?
Mkuu..hakuna story yako nikaacha kusoma na kucheka na kuongeza siku za kuishi😀😀Unapenda sana stori mkuu!
Sina muda wa kuandika mkuu,siku nikipata muda nitaandika