Airtel inashirikiana na hizi kampuni za mikopo mitandao kutoa namba za wateja?

Airtel inashirikiana na hizi kampuni za mikopo mitandao kutoa namba za wateja?

Rufiji dam

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2020
Posts
4,107
Reaction score
9,671
Wasalaam hizi namba 0696447569 0695263962, 0742696669,0683374286, 0696447567, 0719249958. Ni watu wanaodai wao ni wakusanyaji madeni wa hizi online financial services ambazo zinatoa huduma za kukopesha kupitia online.

Hizi kampuni ukichunguza kwa undani zina baraka zote za haya makampuni ya simu za mikononi hasa hii kampuni ya CCM Airtel.

Cha ajabu mtu anachukua mkopo kisha analipa lakini hawa mawakala wao wamekuwa wakisumbua sana watu.

Cha kushangaza hawataki kuonyesha ofisi zao zilipo na hawataki kabisa kutoa ushirikiano juu ya kuonyesha jinsi deni lilivyolipwa. TRA na BOT wapo kimya. Mwigulu ebu ingilia kati juu ya suala hili.
 
Back
Top Bottom