Airtel Internet kwa Dar ni nzuri sana kuliko Arusha!

Airtel Internet kwa Dar ni nzuri sana kuliko Arusha!

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Wapendwa mimi ni mwenyeji wa Arusha,
Juzi kati nilikuwa Dar kwa muda wa wiki mbili; kama kawaida nilikuwa na laini nyingine ninayo itumia kwenye moderm pamoja na kuwa ninayo moderm ya Airtel ambayo siitumii hapa Arusha kwa kuwa internet ipo slow sana

Nilipokuwa dar Rafiki yangu kaniambia nijaribu Aitel kwa kuwa ndio anatumia; na mimi bila ajizi nikaweka laini ya aitel hela...
NILISHAAAA
Sija amini kuwa nilikuwa naweza kutumia U- TUBE?? Kitu ambacho Arusha siwezi kabisa
Kwa nini wasituongezee na sisi bandwith huku Arusha ????

Tunapenda vifurushi wa Internet vya Artel tatizo ipo slow huku kwetu.....

 
Back
Top Bottom