Airtel Internet

Nilikwenda Mlimani City nikakosa modem ya Airtel niliyotaka kuitumia badala ya hii ninayotumia sasa hivi ya Voda. Je wakuu nisinunue tena modem ya airtel, ninunue ya tigo instead??
 

Jana limenisumbua sana ila leo naona wako poa tu
 
Ngoja tuende TCRA,hao nao wamelala sana pamoja na Prof wao sijui wanafanya kazi gani kwenye hiyo mamlaka,mambo mengi ya mawasiliano yanaenda hoyo herir hata hayo mamlaka yalipokuwa tume chini ya babu Bomani,ni kama hii tume inaongozwa na vilaza.
 
hawa jamaa sometimes wanakera sana, yaani connection inakuwa kwenye EDGE muda wote, ikihamia kwenye HDSPA signal strength zinapotea kabisa hata ukibrowse utaishia kukata tamaa tu.sasa sijui kwanini wanajidai wanatoa 3G wakati hawana resources za kutosha kuhakikisha wana maintain 3g connection.
 
Kwa upande kwangu sija kutana na hilo tatizo, Mda wote niko kwenye HDSPA full signal, nahisi sehemu uliyoko 3G inasumbua . Kwangu EDGE ndio siipati kabisa hatakama nikiweka setting zake, mara nyingi na penda kutumia EDGE ili kupunguza Speed ya mtandao maana speed ikiwa kubwa sana na jikuta nataka kuingia kila sehemu kucheck videos.... ila kama wiki 2 hivi speed imeshuka sana hata kwa 3G kiasi kwamba huwezi kuanga lia video youtube moja kwa moja kwa sasa ina kwama kwama mno.
 
Tatizo la EDGE ipo slow sana, hata kufungua page ya JF inakubidi uwe mvumilivu.
kuna kipindi niliwapigia customer care wakaiconfigure laini yangu moja ikawa inakamata HDSPA tu, ilatatizo lake ni kukatakata connection kila wakati signal zinapokuwa chini. So nikaamua kutumia laini yangu nyingine ambayo wameiconfigure kwenye EDGE na 3G
 
yeah.me 2.i had this problem,
me nilijua labda hii modem inaanza kuwa kimeo!!!am using tigo modem!!
 

2mia hii 0784105400 utawapata bure
 
wapigie kwa 0784104800 ni bure custom care utaongea nao fasta
 
mi niko mwanza labda inawezekana wakawa kwenye malekebisho..... mi natumia n70 kama modem kwenye pc sometimes mida ya asubuhi panakuwa hakuna net mpaka mchana hivi then ka saa 5 usiku ndo inapotea mpaka mida ya jioni sasa cjui wats behind the skin???????:help:
 
Dah wakuu hilo tatizo linasumbua mno yaani kufungua site kama Google ambayo mara zote inakuwa faster sana lakini sasa duuuuh balaaa, nadhani wenyewe pia wanajua tuwe na subira
 
Dah wakuu hilo tatizo linasumbua mno yaani kufungua site kama Google ambayo mara zote inakuwa faster sana lakini sasa duuuuh balaaa, nadhani wenyewe pia wanajua tuwe na subira

Nadhani hawa jamaa wame elemewa na wateja!
 
Nimejaribu kuwapigia simu watu wa huduma kwa wateja lakini hakuna majibu naunganishiwa jingle za promo hadi simu inaishiwa chaji (si unajua simu za mchina tena!! japo tunapewa na betri za ziada kama magazini) inakera sana mkuu
sahau simu yako kupokelewa hasa ukionekana tatizo lako ni la internet...labda usiku
 
Hoya mnaweza kunisaidia jinsi ya kujiunga na unlimited ya airtel kwa mwez mzima !!!!???? Tafadhal naomba mnisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…