Nafikiri ni sawa na visa card ya mtandao, yaani huhitaji card physically isipokuwa ni namba maalum...Write your reply...HYO KADI IKOJE
Hawajazindua kadi, walichozindua ni profileWrite your reply...HYO KADI IKOJE
Hii ina utofauti mkuu, with eSimYou can add plans, add a new number, and even connect to a different carrierHii technolojia naona kwa Tanzania kama imefeli Walianza TTCL wakafeli, wakaja Cootel nao pia wakafeli
Nami nakusupport ingawa sijapata ufafanuzi.Nafikiri ni sawa na visa card ya mtandao, yaani huhitaji card physically isipokuwa ni namba maalum...
Sio lazima niwe sahihi
Hili wazo la 'ku-connect to a different carrier' lina utofauti gani na ile 'mobile number portability'Hii ina utofauti mkuu, with eSimYou can add plans, add a new number, and even connect to a different carrier
Haina kadi mkuuWrite your reply...HYO KADI IKOJE
Nope hii niteknolojia ambayo unanunua simu ikiwa tayari na esim so unaenda kwa operator unasajili tu kwa profile yakeNafikiri ni sawa na visa card ya mtandao, yaani huhitaji card physically isipokuwa ni namba maalum...
Sio lazima niwe sahihi
Haijawahi wepo bongo hii ni tofauti na unayodhaniaHii technolojia naona kwa Tanzania kama imefeli Walianza TTCL wakafeli, wakaja Cootel nao pia wakafeli
Kweli kabisa na unaweza change profile (operator) to another as you wishhawajazindua kadi, walichozindua ni profile
eSIM ni hardware ambayo tayari ipo kwenye simu uliyonunua
Connect to a different carrier ni sawa na kuwa na Simu moja yenye line(sim card) mbili za mitandao miwili tofauti(2 different profiles), Mobile number portability ni sawa kuwa na simu yenye line moja ya mtandao X inayo access huduma za mtandao YHili wazo la 'ku-connect to a different carrier' lina utofauti gani na ile 'mobile number portability'