themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
Ni muda muafaka sasa Airtel ianze kufiatilia wafanyakazi wake ambao sio waaminifu ambao wamekuwa wanagawa siri za wateja kwa matapeli
kwa nini nimesema hivyo?
Kipindi cha karibuni baada ya kuanza kupokea malipo kupitia Namba yangu ya Airtel kwenye biashara zangu nilianza kuona matapeli yameanza kuniandama kwa siku zinaingia simu 3 wote wanajifanya watu wa airtel wanakuambia uingie kwenye menyu ili wakuingize chaka utume pesa bila ww kujua
ila kitu nilichofaham ni kuwa accout ikiingia pesa tu kuanzia laki 2 kwenda juu hadi milioni ndio huwa wanasumbua na acc ya airtel money ikiwa haina pesa basi hakuja tapeli atakayekupigia sim
sasa tunatakiwa tujue ni nani ambaye yupo nyuma ya utapeli huu