Airtel mnaboa na maboresho yasiyoomekana

Airtel mnaboa na maboresho yasiyoomekana

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,531
Reaction score
2,140
Message za maboresho nimepokea kama mara tatu kwa wiki tena maboresho kwa muda tofauti tofauti na Leo yanafanyika mchana why?

Angalieni muda mzuri wa kufanya hayo maboresho ikibidi mfanye usiku wa manane

Mnafukiza na ku lower trust kwa wateja sababu ya usumbufu huu.

Walau mfanye usiku kuanzia saa 6 mpaka 12 sio mbaya

Mastercard pia nyie kila siku ipo kwenye marekebisho
 
Hapo masaa ni ya usiku kuanzia saa saba (7) usiku mpk saa kumi (10)usiku. Wewe umesoma masaa kwaki inglishi kwa hapo ni saa moja 7 usiku mpk saa nne (10) usiku.
 
Hapo masaa ni ya usiku kuanzia saa saba (7) usiku mpk saa kumi (10)usiku. Wewe umesoma masaa kwaki inglishi kwa hapo ni saa moja 7 usiku mpk saa nne (10) usiku.
Hapo mod wameedit
 
Back
Top Bottom