Airtel mnatuibia

geomos

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
625
Reaction score
175
Unakuta umekopa salio airtel, baadae unalipa hadi ile pesa ya nyongeza iliobaki unaiona, halafu unanunua muda mpya wa maongezi na message ya kwamba umepokea dakika kadhaa inakuja lakini ukipiga simu unaambiwa huna salio la kutosha kupiga simu.

Unapiga huduma kwa wateja 100, unapewa mlolongo wa menu za mambo yote, mikopo, airtel money nk lakini hakuna line ya kuongea na muhudumu, huu ni wizi, Jana nimekatwa na leo pia ni wakati wa kuhama airtel kurudi vodacom au tigo.
 
Hata mimi nshakumbana nayo sana tu haya mambo.
Vumilia tu kaka.
Kuwa mpole
 
geomos

Kama ni mpenzi wa vifurush vya internet usije voda mtandao uko slow mno na bei kubwa vifulush kidogo
 
Last edited by a moderator:
Ndugu huko Voda unapotaka kukimbilia si salama hata kidogo salio linakatwa bila kutumiwa
 
zantel keep talking napiga 1GB for one week for only 1000
 
Kisa cha May 30. Eti wananiambia nimelipia huduma ya game club. Baada ya kubishana nao nikaambiwa nione kama nime download game yoyote kutoka tovuti yao. Wajinga sana! Ni download game wakati tovuti yenyewe sijafungua? Mpaka leo hawakunirudishia hela! Nilishatuma email hata TCRA!


 
Usichukue ushauri huu.

Ha ha ha
Hao jamaa hata uwafanye nini huwezi rudishiwa hela yako
Kipindi cha uchaguzi hiki kumbuka.
Makampuni yote ya simu yanakatwa kodi balaa ili ikusanywe hela ya kutosha kuingiza uchaguzini.
Sasa na wao wanapatia kupunguzia machungu humo humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…