Shetemba JF-Expert Member Joined Jan 20, 2018 Posts 923 Reaction score 933 Jan 24, 2018 #1 Baadhi yetu huweka akiba zetu kwenye mitandao ya simu sasa huo ugonvi wenu na serikali utaisha lini?maana mko kimya tu mwisho siku ikala kwetu ikizingatia wengine2 hugeuza laini simu vibubu
Baadhi yetu huweka akiba zetu kwenye mitandao ya simu sasa huo ugonvi wenu na serikali utaisha lini?maana mko kimya tu mwisho siku ikala kwetu ikizingatia wengine2 hugeuza laini simu vibubu
Chris14 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2017 Posts 3,076 Reaction score 2,181 Jan 24, 2018 #2 Vunja kibubu mapema mkuu.