Tangu Jumatatu najaribu kufanya malipo ya serikali kupitia Airtel Money lakini malipo yana kwamba (pending) na inachukua masaa 38 kurejesha pesa a mteja ktk account yake.
Huu ni uduwanzi mnatukwamisha. Airtel kama system yenu ya malipo haipo sawa ni vyema kutoa taarifa mapema.