Ndugu zangu, natumia modem ya airtel na nimejiunga na data wiki kifungu cha 15000/. La kushangaza net iko very slow. Naomba msaada namna ya kurecover. Yaani natakiwa nisubiri kwa zaidi ya dakika kumi ili page ifunguke. Nanyi ndo hivyo huko bajameni!!!
Nifanyeje ndg zangu.