njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Watu hawa hawaheshimu wanuka jasho kabisa.
Huduma hovyo, mabando ghali (kwa wale wasiojua vpn) wanafanya wanavyojisikia sababu wnajuaa nape nnauye atawatetea kwa lolote lile keshakuwa msemaji wao.
Tangu jana hadi sasa hivi connection ya airtel ni tiatia maji na wamenyamaza kimyaaa ukipiga customer care wanasema restart simu.
Anyway wanaona labda ni ujinga kuheshimu majinga yasiyoheshimika hata na serikali yao inayowaanbia kila siku kama wamechoka wahamie Burundi.