njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Mtandao haueleweki hadi sasa hivi masaa 18 sasaWananyanyua mabega
Hadi sasa hivi kazi hazifanyiki na wako kimya wanajuwa tukilalamika napeJana wamenitesa sana Airtel.
Nawapa onyo kali!
Line yenu nitaitupa
Na hili Nalo Airtel waliangalie.Jana wamenitesa sana Airtel.
Nawapa onyo kali!
Line yenu nitaitupa
Sasa hivi mtandao uko poa kwako?
Kwangu ulirudi baada ya masaa matatuSasa hivi mtandao uko poa kwako?
nilipo mimi bado