Airtel mtandao unasumbua tangu Julai 19, shida ni nini?

Airtel mtandao unasumbua tangu Julai 19, shida ni nini?

Yaani network inakatika nusu saa Dar mjini hapa? Hakuna kupiga simu, wala sms wala internet. Na leo mmeanza tena, simu haziendi, shida nini?!!!
Airtel hawajawekeza sana kwenye vyanzo vyao vya umeme,magenereta na backup batteries,
Kwahiyo umeme ukikatika,mitambo inakosa nishati mbadala,majenereta ni mabovu,batteries hazina nguvu,hapo mtandao lazima utapotea
 
Aisee nimenunua bando GB 11 ile kufika gb 5 hakuna bando
 
Yaani network inakatika nusu saa Dar mjini hapa? Hakuna kupiga simu, wala sms wala internet. Na leo mmeanza tena, simu haziendi, shida nini?!!!
Halafu mbaya zaidi kama unatumia airtel halafu unataka ku comment kwenye huu uzi ndiyo kabisaaa haidiriki hata kushtuka
 
Airtel wajiangalie sana mimi nilidhani shida ipo kwa watu wa mtaa wangu tu kumbe wengi wanasumbuliwa na network mbovu ya Airtel.

Binafsi niliitupa chooni laini yao baada ya Mb 500 kuisha kwa notifications tu na kunisumbua wakati naperuzi.
 
Back
Top Bottom