FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Jana na leo wamenikwamisha mno!Putin ndiye shiida itakuwa
Airtel si mtandao wa kuaminika tena. Si jana wala juzi, ni hovyo tu siku zote!Yaani network inakatika nusu saa Dar mjini hapa? Hakuna kupiga simu, wala sms wala internet. Na leo mmeanza tena, simu haziendi, shida nini?!!!
Nape yuko bize kula kwa urefu wa kamba zakeYaani network inakatika nusu saa Dar mjini hapa? Hakuna kupiga simu, wala sms wala internet. Na leo mmeanza tena, simu haziendi, shida nini?!!!
Airtel hawajawekeza sana kwenye vyanzo vyao vya umeme,magenereta na backup batteries,Yaani network inakatika nusu saa Dar mjini hapa? Hakuna kupiga simu, wala sms wala internet. Na leo mmeanza tena, simu haziendi, shida nini?!!!
Aibu yetuYaani network inakatika nusu saa Dar mjini hapa? Hakuna kupiga simu, wala sms wala internet. Na leo mmeanza tena, simu haziendi, shida nini?!!!
Halafu mbaya zaidi kama unatumia airtel halafu unataka ku comment kwenye huu uzi ndiyo kabisaaa haidiriki hata kushtukaYaani network inakatika nusu saa Dar mjini hapa? Hakuna kupiga simu, wala sms wala internet. Na leo mmeanza tena, simu haziendi, shida nini?!!!