Airtel muache kuiba MB! Yaan unaunga dk 1 kidogo tu imeisha??

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Aisee kujua unaibiwa had ujaribu kitu kingine.

Nimekua nikinunua hili bando la 2100 la Gb lakin halikai hata dk tu limeisha.

Sasa hiz siku mbili nimeunga voda GB 1 inakaa sana aisee had sasa nimetumia MB300 tu tangu sa moja na matumizi ni yale yale.

Nimeamini Airtel ni wezi wa bundle kuna namna wanakula saana kwa wizi.
 
Nipo ughaibuni….huku ninalipa 40,000/= kwa mwezi niki convert kwa hela ya Tanzania Nina pata Unlimited Internet pamoja na Unlimited calls kupiga ndani ya nchi hii. Hiyo gharama ni Sawa na kulipa Tsh 1300 kwa siku. Sasa najiuliza kwa nini gharama za Internet Tanzania ziko juu sanaaa? Kwa ki fupi tunapigwa sanaaaaa
 
nunua router mkuu tena na suggest router ya tigo 50000 utaenjoy sana
 
Nipo ughaibuni….huku ninalipa 40,000/= kwa mwezi niki convert kwa hela ya Tanzania Nina pata Unlimited Internet pamoja na Unlimited calls kupiga ndani ya nchi hii. Hiyo gharama ni Sawa na kulipa Tsh 1300 kwa siku. Sasa najiuliza kwa nini gharama za Internet Tanzania ziko juu sanaaa? Kwa ki fupi tunapigwa sanaaaaa
natamani sana uyu jamaa mwenye starlink atuone pia na sisi
gharama za internet bongo zipo juu sana
 
Nipo ughaibuni….huku ninalipa 40,000/= kwa mwezi niki convert kwa hela ya Tanzania Nina pata Unlimited Internet pamoja na Unlimited calls kupiga ndani ya nchi hii. Hiyo gharama ni Sawa na kulipa Tsh 1300 kwa siku. Sasa najiuliza kwa nini gharama za Internet Tanzania ziko juu sanaaa? Kwa ki fupi tunapigwa sanaaaaa
Mkuu Nchi yetu ujinga ni mwingi sana
Hutokaa uone raia tunapigia kelele mambo ya msingi, na hapo ndipo hawa viongozi wanapotupigia.

Internet inaonekana kama kitu cha anasa wakati ni huduma mhimu sana.
Kwetu kila kitu raia analipia kodi tena kodi kubwa.

Tanzania wajinga ni wengi sana.. hili litatutesaa kwa miaka mingi
 
Airtel ni majambazi yakiyohalalishwa na kupewa leseni.

Aisee, wanakula mb hadi waweza kutamani kutupa laini yao. Ukigusa data tu zinayeyuka kama barafu kwenye jua kali.

Nasubiri tu ukamilike mnara wa Vodacom natupa laini ya airtel.
 
Back
Top Bottom