Kuropoka si level ya JF, mmeshajibiwa hapo juu ni maswala ya outsource, sawa na Vodaphone UK Customer care yao iko India wao ndio wameamuwa ku outsource kwa Wahindi kwa sababu Wahindi ni cheap.
Au labda wenzetu huko mitaani kwenu kufanya kazi airtel ndio ujiko? huu nao ni ujinga mbadala.
Senki yuu mukubwa!!umenikata kiu barabara,kifupi nimekuelewa na sina haja ya kuendelea kukodoa mimacho humu.Spanco wamekuwa outsourced ku manage customer care ya airtel.. So airtel ni kampuni inayofanya kazi na kampuni nyingi as subcontractors... Mfano network wanafanya NSN, Logistics wanafanya SDV, customer care wanafanya Spanco, IT wanafanya infotech kama sikosei.. Na mengineyo Airtel kama airtel wamebaki kwenye management, sales etc