Airtel na imebadilisha jina tena kuwa spanco?


Kaka outsourcing haiepukiki kwa dunia ya sasa as kampuni nyingi zinatumia hii technique kupunguza cost na wao wanabaki na wafanyakazi wanaodeal na major business of the company,,, na hata mashirika yetu kama tanesco ili yafanye kazi kwa ufanisi inabidi wayavunje vunje kwa ku outsource other service zifanywe na kampuni nyingine as wao wa concentrate kwenye major business.. Vitu kama IT, Logistics etc una outsource kwa kampuni zilizo specialise kwenye hizo shughuli like oracle, Ibm, kwa tanzania infotech, raha na wengineo,, as ni ngumu kuajiri wafanyakazi wote mwenyewe na kuwapa training kwenye standard inayotakiwa, so ni bora kumpa tenda mtu aliye base kwenye hizo shughuli wakati na wewe unaendelea na shughuli ulizospecialize tu,,

Mdogo wangu tembea uione dunia nazan ndo utaelewa vizuri,, siku hizi huko dunian kampuni zinaendeshwa kwa hii sytle ya ku outsource na ndo maana zinafanikiwa sana na zinakuwa, na kuanzia miaka 5 ijayo sitashangaa nikiona tanesco, nssf, tpa, etc zikianza kuvunjwa vunjwa nazo baadhi ya departments na ku outsource kwa proffessional companies walio specialize kwenye hizo shughuli like IT, LOgistics, Customer care etc wawafanyie kazi
 

"Spanco wamekuwa outsourced ku manage customer care ya airtel."
"wanasitisha mikataba na wafanyakazi wa kitengo kinachokuwa outsourced"

Mbona unajicontradict? Kitengo kinachokuwa outsourced ni kipi Spanco au Customer care? Jipange Mzazi
 

Airtel siyo Spanco.Spanco hii ni kampuni ya wahindi,ofisi zake kwa sasa zipo uchumi supermarket{ndani ya quality group}.Hawa majamaa kazi yao kubwa ni kuchukua tenda ya kampuni zote za simu i.e airtel,tigo n.k...tenda zao ni kitendo cha huduma kwa wateja{customer service}.
Kwahyo kama mtu anajitambulisha kwa jina la spanco then yupo airtel,basi anakuwa hajakosea kwa sababu spanco ndiye muajili wake.
 
"Spanco wamekuwa outsourced ku manage customer care ya airtel."
"wanasitisha mikataba na wafanyakazi wa kitengo kinachokuwa outsourced"

Mbona unajicontradict? Kitengo kinachokuwa outsourced ni kipi Spanco au Customer care? Jipange Mzazi
Hapa kilichokuwa outsourced ni service ya Spanco na sio customer service
 

Nashukuru na nimepata uelewa zaidi kuusu outsourcing. Asante
 
spanco wana provide customer care service kwa airtel, likewise ilivyo Ero Link who provide Customer Care Service kwa Vodacom Tanzania, Exim Bank etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…