Sifanyi kazi airtel wala sina mpango wa kufanya kazi airtel, na kama ana vitu analalamika airtel anaitajika kwenda airtel kuwaambia sio Jamii forums, maana akija huku ndio majibu kama haya tunampatia.
hahahahaha mimi nawachakachua Airtel since March tena kuna Engineer anafanya kazi pale Airtel alinifanyia maujuz kwenye modem yangu nakula net buuuuure polen watanzania wenzangu mnaoibiwa!
Niliona tangazo la hii ofa yao ya uongo, sikukurupuka, nikauliza zaidi na zaidi kwa wakala wao, akanihakikishia ni kweli na kujiapiza, si ndo nikanunua nimetumia wiki tu tena kusoma email na kuperuzi sites eti wananiletea ujumbe niongeze pesa! jamani watanzania mbona tunaonewa live live na kuibiwa hadharani? Mamlaka ya mawasiliano mpo? Yaani wamenikera mpaka basi, wizi wa mchana kabisa huu, tena utapeli wao wanautangaza hadi kwenye tv!!!!
Ebwana nami nipo mkifanikiwa jinsi ya uchakachuzi tutonyane, Nashukuruni maana namii nilivutiwa na hilo tangazo la Airtel ningeuvaa mkenge, Namshukuru Mungu kwa kunipa subira, Ila kiali ni wizi live haingii akilini Mtandao unakubali kuingia hasara kwa kutoa Ofa ya Moderm ya miezi 6 kwa tsh 30,000.jinsi ipo tena wafanyizie nitafute binafsi nikupe ujanja
Still HAMTAKI elewa, What iF you laptop/Desktop has automatic UPDATES on? I have mine, and when it updates it can even update 435MB a day, antivirus and other issues, sasa hata kama upo facebook, we wategemea nini? ni Miezi sita bure, but they clearly say the maximum you can spend in a day, HAKUNA WIZI HAPA, we just dont want to make our brain cells move.:eek2: