kingxvi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 879 Reaction score 151 May 25, 2011 #1 jamaa waizi sana hasa kwenye huduma ya internet ukinunua bundle zao au ukisurf hata bila kuunga jamaa wanakwangua sana hi nimeigundua toka juzi
jamaa waizi sana hasa kwenye huduma ya internet ukinunua bundle zao au ukisurf hata bila kuunga jamaa wanakwangua sana hi nimeigundua toka juzi
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 May 25, 2011 #2 njoosha maelezo huweleweki. wenzako tunakula raha tu nabundle ya shilling 2500/= na ni airtel hiyohiyo.
njoosha maelezo huweleweki. wenzako tunakula raha tu nabundle ya shilling 2500/= na ni airtel hiyohiyo.
LOOOK JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,389 Reaction score 674 May 25, 2011 #3 huyo nae katumwa hulazimishwi na si lazima utangaze hama kimya kimya wenzio twala kuku na bata na airtel hiyo hiyo bila matatizo na hakuna mtandao ambao una piga dili kwenye net nkama aitel kama ulikuwa hujui.
huyo nae katumwa hulazimishwi na si lazima utangaze hama kimya kimya wenzio twala kuku na bata na airtel hiyo hiyo bila matatizo na hakuna mtandao ambao una piga dili kwenye net nkama aitel kama ulikuwa hujui.