Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balaa unaweza kusema device imetoka MB zinamwagikaYaani ndani ya dakika 8 nimealiza 2GB? Haya bhana ila mkumbuke malipo ni hapa hapa duniani.
View attachment 1709011
Sajili ya 4G ila likata kinoma ninejiunga jana jioni G6 kwa 5k now zimebak G2 ila wapo vizur kwa spidihawa jamaa wanafyeka kinoma mnaotumia HALOTEL hebu nishawishini
GB 1024 kwa 500/- [emoji23][emoji23][emoji23]Chunguza vizuri.. mi wananipa Mb 500 ila msg ya inapoisha wananiambia nimemaliza bando langu la Gb 1024
Ukimaanisha Halotel 4G au??Sajili ya 4G ila likata kinoma ninejiunga jana jioni G6 kwa 5k now zimebak G2 ila wapo vizur kwa spidi