Airtel nimewavulia kofia

hawa jamaa wanafyeka kinoma mnaotumia HALOTEL hebu nishawishini
 
Majitu majizi sana haya. Ni aibu!

Serikali tapeli, mitandao tapeli, kila mtu tapeli.

Tumezoea kuishi kwa ujanja ujanja na udanganyifu.

Tumekuzwa na kulelewa kwenye mazingira ya uongo uongo na ubabaishaji. Haya ndio matokeo yake.

Extremely DISHONEST and FRAUDULENT people!
 
Chunguza vizuri.. mi wananipa Mb 500 ila msg ya inapoisha wananiambia nimemaliza bando langu la Gb 1024
 
Vitu vya kuzingatia,

Hiyo router yako imeunganisha watu wangapi.maana kuna watu akili mbovu wakiona wifi unajua free GB na kushusha tu.

Simu yako unayo tumia una app ngapi au umeweka automatic download via wifi
 
Mimi ninatumia GB 1.5 siku ya nne hii au wamenitunuku?
 
Hebu fungua browers yako tuone ulikuwa unashusha nini isije kuwa ulikuwa unaangalia pilau online mkuu
 
Me juzi nimeunganisha 2Gb nikawasha computer nikaunganusha na hotspot, nikatoka nje kabla sijafungua kitu chochote, narudi baada ya dkk 5 naambiwa salio lako la internet limeisha, yaani hata sikuamini kabisa, airtel punguzeni ujinga na wizi wa kiboya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…