NostradamusEstrademe JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 3,402 Reaction score 4,532 Feb 28, 2022 #1 Ukiingia kwenye mtandao wa Airtel kutumia simbanking ajabu unakuta message hii MMI Complete Connection problem or invalid MMI code Ajabu unaona message hiyo lakini ajabu muamala unakamilika kama kawaida hiki nini sasa Msichanganye wateja wenu
Ukiingia kwenye mtandao wa Airtel kutumia simbanking ajabu unakuta message hii MMI Complete Connection problem or invalid MMI code Ajabu unaona message hiyo lakini ajabu muamala unakamilika kama kawaida hiki nini sasa Msichanganye wateja wenu
Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 4,226 Reaction score 8,879 Feb 28, 2022 #2 😉
JUAN MANUEL JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 7,808 Reaction score 16,972 Feb 28, 2022 #3 Vilaza wamejaa IT department
NostradamusEstrademe JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 3,402 Reaction score 4,532 Feb 28, 2022 Thread starter #4 JUAN MANUEL said: Vilaza wamejaa IT department Click to expand... Kwa miaka yote hili walikuwa hawajalijua?
JUAN MANUEL said: Vilaza wamejaa IT department Click to expand... Kwa miaka yote hili walikuwa hawajalijua?
BabaDesi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2007 Posts 6,122 Reaction score 4,060 Feb 28, 2022 #5 Binadamu Mtakatifu said: 😉 Click to expand... Kweli...