JemedariSado
Member
- Oct 20, 2017
- 9
- 10
Ndugu wanabodi.
Mimi binafsi ni mtumiaji mzuri wa mtandao wa Airtel. Lakini pia ni freelancer na agent wa mitandao yote ikiwemo na Airtel.
Kitu kilichonistua mpaka kuandika hii thread. Ni baada ya wateja wangu kama wawili walikuja Kwa mda tofauti.
Mmoja alikuja kifanya SIM SWAP, baada ya kuswap alikua amesahau namba ya siri baada ya kuwapigia simu ili wanipe access ya kupata PIN mpya hawakua wakipokea. Nikaona nifanye kubahatisha kwenda kwenye menu yao namba 7. Kisha namba 1.
Ajabu mfumo ukaniruhusu kuandika PIN mpya bila kuzingatia kigezo chochote, ikawa hivyo hivyo na Kwa mteja mwingine pia aliesahau namba ya siri.
Kuona hivyo nikajaribu na kwenye lain yangu binafsi nikaona jambo ni hilohilo.
Hii ni hatari Kwa mtu anae tunza visenti vyake humo. Punde anapopoteza hiyo lakini.
Rekebisheni hilo Please..... At least kabla ya kuomba PIN mpya mtu ataje details muhimu.