Airtel Tanzania yapandisha gharama za internet!

Status
Not open for further replies.
hawa majamaa dah wanatisha kumbe walikuwa wanatuvuta tu dah hii ni noma nimeangalia menu yao ya baundle ni full kuchanganyikiwa
 
nimejuuta kuwafahamu airtel! 500mb kwa 10,000/= niliwapenda,bt kwa sasa najitoa! konda mwambie dereva anishushe nimechoka bus aliendi hili
 
This is my personal analysis, is not tied to current price changes, Niligundua hilo mapema kidogo. Mimi ni mtumiaji wa skype sana. Ukiweka shs 5,000/- ukitumia skype, Airtel inatumia dakika 47.52 voda inatumia dakika 72.17. Nasisitiza kuwa huu ni uchambuzi binafsi. Factors kama updates na others applications nimeconsider kwani huwa naactivate firewall na kublock application zote isipokuwa skype! Sijawahi kuipenda kampuni ya vodacom. Lakini Give the Devil his Due
 
acheni uwongo, mbona mimi nimenunua bundle jana jioni 400MB kwa 2500/- tu hiyo bei imepanda lini?
 
acheni uwongo, mbona mimi nimenunua bundle jana jioni 400MB kwa 2500/- tu hiyo bei imepanda lini?
Usibishe sana mkuu fuatilia ukweli wa taarifa hizi, maana mimi leo bundle yangu inapunguwa mb kwa spidi ya kutisha.
 
Hii hali inatisha, wanajali masilahi yao kuliko ya wateja, bora kushuka kupanda gari lingine.
 
nakushauri ufanye maamuzi mepesi kwa kutumia zantel mtandao ninaoukabali sana upo kwa ajili ya watanzania,uupo fasta download kama kawa ni ww tu na bundle yako.
Chukuwa hatua
 
Karibuni tigo.! Huwa nafanya hivi ; naweka laini ya modem kwenye simu, then naunga kile kifurushi cha light day standard kwa Sh. 700/= then narudisha kwenye modem. Naitumia siku 3 kuperuzi na kuchati Fb ,e-mails hata Jf.. Jiachie Na TIGO
 
Naona airtel wameshachemka, sasa hv tigo mpango mzima
 
Yaani MB 500, alfu 30, kutoka MB 400 kwa 2500??? Kweli biashara huria. Ndo washatufukuza tena.
 
Hakyanani nashuka kwenye hili basi naenda kupanda bito ya blue.
 
kumbeeeeeeeee! ndo maana naona bundle inaisha tu. watatia adabu very soon hawa. jamani anayejua kuchakachua hii modem ya zain plz ili iwe multipurpose plz!
 
Watu bwana hebu nenda hapa

Broadband tariff | Africa

[TABLE="class: frameBorder"]
[TR="bgcolor: #f3f3f3"]
[TD]Handset Browsing Bundle(400 MB)
[/TD]
[TD="width: 155"] SMS ‘internet ' to 15444
[/TD]
[TD="width: 75, align: left"]
2,500/=​
[/TD]
[TD="width: 90, align: left"]
30 days​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
Labda kama wamebadili muda huu, jamaa yangu kanunua leo saa nane mchana bundle ya 400MB kwa 2,500/- tu mimi nimejiunga jana saa mbili usiku
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…