Hicho kubwagizo alichoanza nacho ni tune ya wimbo wa 'the lion sleeps tonight',wenye asili ya afrika kusini ulioitwa 'mbube' kwa kizulu na kutungwa na solomon linda mwaka 1939. Baada ya hapo wimbo huu uliimbwa na wasanii wengine mbalimbali duniani.
Kwa hiyo Mayunga hajaonesha originality yoyote.
Huu wimbo Mayunga ajaandika, yeye alienda kuimba tu.Muandishi wa huu wimbo ni AKON mwenyewe na ulichelewa kutoka kwasababu kuna vipande vya wimbo wametoa kwenye wimbo mwingine ikawalazimu kuomba kibali kutoka kwa mmiliki wa huo wimbo.Hicho kubwagizo alichoanza nacho ni tune ya wimbo wa 'the lion sleeps tonight',wenye asili ya afrika kusini ulioitwa 'mbube' kwa kizulu na kutungwa na solomon linda mwaka 1939. Baada ya hapo wimbo huu uliimbwa na wasanii wengine mbalimbali duniani.
Kwa hiyo Mayunga hajaonesha originality yoyote.
Ni jambo la kawaida kwenye biashara ya muziki, haipunguzi uwezo wa kijana wetu! Ni muimbaji mzuri na wimbo ni Mzuri kuliko.Huu wimbo Mayunga ajaandika, yeye alienda kuimba tu.Muandishi wa huu wimbo ni AKON mwenyewe na ulichelewa kutoka kwasababu kuna vipande vya wimbo wametoa kwenye wimbo mwingine ikawalazimu kuomba kibali kutoka kwa mmiliki wa huo wimbo.