Mayunga mayunga mayunga mayunga, inasikika kwa mbaaaali. The song is very nice, very promising future for this kid of ours.
Tumsupport huyu
Whatever.Unajua biashara za mziki zinavyofanyika kwa wenzetu waliofanikiwa au unaongea usichokijua.Sio waimbaji wote huko Ulaya na Marekani wanatunga wenyewe,wengi wananunua mashairi.Huu wimbo Mayunga ajaandika, yeye alienda kuimba.
Kijana kaimba wimbo mzima, Kuna video iko youtube.com inayoonesha dogo akirecord hiyo nyimbo! Akon kaimba hayo maneno Mayunga mayunga tuuuMimi kwenye huu wimbo nampongeza sana Akon kwa kweli ni track nzuri, pili sijajua mayunga kaimba verse ya ngapi na akon verse ya ngapi maana naona sauti zinafanana
mbona sijaisikia sauti ya akon? any way naomba untumie pm kama waweza nisaidiaView attachment 348285
Huyu dogo alishinda tuzo ya "Airtel Talent"(?) pale Nairobi Kenya na baadae akapata offer ya ku-record wimbo na Akon,kabla ya hapo alikuwa ameimba na Mr Blue
Kwa sasa "single" yake aliyomshirikisha Akon imetoka,ni wimbo mzuri,hakika umemvusha dogo toka hatua moja kwenda nyingine.Wimbo mzuri na unasikiliza,"Dont Go Away" ndio habari ya town kwa sasa
Mawingu FM watamshobekea sasa hivi huyu dogo
Media na wabongo wanataka mpaka dogo achukue bongo movie moja ndio waanze kumpa promodogo tatizo kama nyota yake ni hafifu sana,yani kwa jinsi alivofanya nilitegemea kuona anatrend sn kwenye media,ila watu wanaonekn bdo wako baridi sana kwa huyu dogo...so,jamaa ni mzuri tu ktk uimbaji ila tatizo ni nyota tu!
Ila akiendelea kukomaa ipo siku ataing'arisha.
And the idea behind kwa sasa is to create a Singer ambae anaweza kucheza na different melodies endapo anatengenezewa. Haya mambo mengine kama kutunga mashairi mwenyewe, kubuni melody mwenyewe yapo tu and sometimes yanakuja with time... first singing talent ndicho hutafutwa.Ni jambo la kawaida kwenye biashara ya muziki, haipunguzi uwezo wa kijana wetu! Ni muimbaji mzuri na wimbo ni Mzuri kuliko.
Nimeona clip ya safari yake mpaka alivyorekodi huu wimbo unaona jinsi producer alivyokua na kazi rahisi, the boy is good
You nailed it! Hana haja ya kupoteza focus kujifunza uandishi kwa sasa, awekeze kuimarisha uimbaji, utumbuizaji na the business part of it. Watu walio kwenye local industry ya muziki lazima wampokee dogo kwa niaba yetu wa tz! The kid will incredibly increase our share in the international market! We have got to do somethingAnd the idea behind kwa sasa is to create a Singer ambae anaweza kucheza na different melodies endapo anatengenezewa. Haya mambo mengine kama kutunga mashairi mwenyewe, kubuni melody mwenyewe yapo tu and sometimes yanakuja with time... first singing talent ndicho hutafutwa.
Yaani nimesisimkwa baada ya kuisikia hiyo ngoma... only because I was told in advance kwamba ni Mayunga or else ningezani a certain experienced artist ambae simfahamu. Nilichopenda zaidi ni kwamba vocal zake zina international touch na sio local.You nailed it! Hana haja ya kupoteza focus kujifunza uandishi kwa sasa, awekeze kuimarisha uimbaji, utumbuizaji na the business part of it. Watu walio kwenye local industry ya muziki lazima wampokee dogo kwa niaba yetu wa tz! The kid will incredibly increase our share in the international market! We have got to do something