Airtel TZ ni matatizo sasa!

Airtel TZ ni matatizo sasa!

KirilOriginal

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2012
Posts
2,161
Reaction score
1,147
JF, Zain inasumbua imekuwa ni vigumu kuongeza salio au kuwezesha mawasiliano mengineyo. Tafadhali kama mnalifahamu hili tatizo litatueni
 
Ni kweli inasumbua sana...mie nipo mwanza kwa sasa hata salio huwezi angalia....kinachosaidia ni bando yangu niliyoweka asubuhi ikiisha hiyo ndio basi tena.
 
Eti ukiingiza vocha inaandika SERVICE TIMEOUT.
 
Hamia airtel yatosha::

Mtanzania mwenye utajiri wa hajabu davis mosha by le mutuz
 
Back
Top Bottom