KirilOriginal JF-Expert Member Joined Feb 13, 2012 Posts 2,161 Reaction score 1,147 Aug 1, 2013 #1 JF, Zain inasumbua imekuwa ni vigumu kuongeza salio au kuwezesha mawasiliano mengineyo. Tafadhali kama mnalifahamu hili tatizo litatueni
JF, Zain inasumbua imekuwa ni vigumu kuongeza salio au kuwezesha mawasiliano mengineyo. Tafadhali kama mnalifahamu hili tatizo litatueni
D Dan Geoff P Member Joined Jan 16, 2012 Posts 86 Reaction score 100 Aug 1, 2013 #2 Ni kweli inasumbua sana...mie nipo mwanza kwa sasa hata salio huwezi angalia....kinachosaidia ni bando yangu niliyoweka asubuhi ikiisha hiyo ndio basi tena.
Ni kweli inasumbua sana...mie nipo mwanza kwa sasa hata salio huwezi angalia....kinachosaidia ni bando yangu niliyoweka asubuhi ikiisha hiyo ndio basi tena.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Aug 1, 2013 #3 Eti ukiingiza vocha inaandika SERVICE TIMEOUT.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Aug 1, 2013 #4 Hamia airtel yatosha:: Mtanzania mwenye utajiri wa hajabu davis mosha by le mutuz
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 24,977 Reaction score 23,799 Aug 1, 2013 #5 KirilOriginal said: JF, Zain inasumbua imekuwa ni vigumu kuongeza salio au kuwezesha mawasiliano mengineyo. Tafadhali kama mnalifahamu hili tatizo litatueni Click to expand... ....ila ukikopa salio unakopeshwa!!!! ni wizi mkubwa leo.......
KirilOriginal said: JF, Zain inasumbua imekuwa ni vigumu kuongeza salio au kuwezesha mawasiliano mengineyo. Tafadhali kama mnalifahamu hili tatizo litatueni Click to expand... ....ila ukikopa salio unakopeshwa!!!! ni wizi mkubwa leo.......