Mbona mkuu kwangu ya voda ilikubali na nimekutumia zaidi ya mara 6 baada ya kink na paypalHope inakubali kulipa kwa paypal,maana vodacom ilishakataa.
Iko hivi ndugu hizo card zinaexpire baada ya miezi sita kama sijakosea baada ya hapo ukirenew hutaweza kutumia tena kwa paypal,umetumia kwa mda gani?Mbona mkuu kwangu ya voda ilikubali na nimekutumia zaidi ya mara 6 baada ya kink na paypal
Kwahiyo unafungua ikiwa unafanya uduma kwa muda masiku ya karibu kwa maana inaexpaya miezi 6Iko hivi ndugu hizo card zinaexpire baada ya miezi sita kama sijakosea baada ya hapo ukirenew hutaweza kutumia tena kwa paypal,umetumia kwa mda gani?
Update taarifa za kadi yako kwenye PayPal acc mkuuIko hivi ndugu hizo card zinaexpire baada ya miezi sita kama sijakosea baada ya hapo ukirenew hutaweza kutumia tena kwa paypal,umetumia kwa mda gani?
Ndivyo ilivyonikuta mimi na nimejaribu mara kadhaa ku-update imeshindikana labda nijaribu tena ingawaje nishaona jamaa kibao wakilalamika kwa ishu kama hiyo.kwahiyo unafungua ikiwa unafanya uduma kwa muda masiku ya karibu kwa maana inaexpaya miezi 6
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo ilivyonikuta mimi na nimejaribu mara kadhaa ku-update imeshindikana labda nijaribu tena ingawaje nishaona jamaa kibao wakilalamika kwa ishu kama hiyo.Update taarifa za kadi yako kwenye PayPal acc mkuu
Hakuna kitu unaweza kufanya hapo mzee.
Mkuu mpaka expiry date ipo wazi wazi wazi kabisaHakuna kitu unaweza kufanya hapo mzee, mi sio bwege.
Chukua basi ukatumie mkuu!
Kadi ya zamani haipo, nimejaribu kulink kadi mpya niliyo-generate imekataa kabisa. View attachment 1302456
Mbona umeikomalia mzee baba, humo anaweka hela anapotaka kulipia tu, sio kama m pesa kusema utakuta kitu humo
Mkuu naomba unielezee billing address kwa paypal unajaza ipi? Maana nakwama sana kipengele cha billing addressKadi ya zamani haipo, nimejaribu kulink kadi mpya niliyo-generate imekataa kabisa. View attachment 1302456
Hiyo sio issue issue ni zile 3 digits secure code
Nimeshangaa sana jamaa walivyokomalia.Hiyo sio issue issue ni zile 3 digits secure code
Hawa jamaa sijawaelewa wakati naweza kuchange iyo kadi wakati wowote, na security code zimefichwa hapo sa sijaelewa, ngoja niache waniibie nione maana mi mbishi😛Mbona umeikomalia mzee baba, humo anaweka hela anapotaka kulipia tu, sio kama m pesa kusema utakuta kitu humo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa vema sana, mi nilipenda huduma yao kuliko kutumia benki, anyway ngoja tuone.Voda waongeze muda wa kuexpire kwa wateja wanaonesha consistence kutumia huduma yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu ukiibiwa uanze kulia lia kama mtoto.Kadi ya zamani haipo, nimejaribu kulink kadi mpya niliyo-generate imekataa kabisa. View attachment 1302456
Embu nifundishe unawezaje kuniibia hapo mkuu!