Airtel Virtual MasterCard naikubali

Nimetumia juzi kununulia domain name iko vizuri,nilichopenda haihitaji kuhamisha hela kwenda kwenye card -airtel money yako inakuwa linked na mastercard

Mkuu samahani, naomba kufahamu je naweza kutumia hii airtel mastercard kutuma pesa moja kwa moja kwenda paypal ya nchi nyingine.
Je hela kwenye hii laini inabd niibadili kwenda dollar kabisa ndio nitume?

Ahsante
 
Inatuma na wakati wa kutoa pesa utachagua currency yakutumia
 
Unatuma kwa mtu yeyote ambaye account yake ipo katika list ya nchi ambazo zinazokubali kupokea pesa kwa paypal,..
 
There is no way pesa mtu wa Tanzania ataweza kupokea pesa kwa paypay account yake au kwa Benki accont yake kutoka paypal. Airtel au benki yoyote hawatakuwa na cha kukusaidia hapo.

Serikali ya Tanzania ndio ilitaka maisha yawe magumu hivyo.
 
Vipi Airtel master card inaweza fanya malipo Alibaba wadau.
 
Airtel n nzur lakini si nzur kiusalama pesa wanakata direct kutoka kwrnye account ya airtel money

Nnamwez wa 3 nilinunua bidhaa online airtel hela wamekata Kyle haijafika airtel wanapiga tarehe tu zitarud zitarud mpaka nmeanza kusahau hawana msaada wowote zaid ya kupiga Dana Dana so kuwa makini
 
Huwezi kupokea hela kutoka paypal ukiwa Tanzania.

Paypal walishashindwana terms na Tanzania.
Hivi hawa wa adsense wanapokea vipi malipo yao?
Ama hawa wanaofanya biashara mitandaoni wanapokea vipi hela zao mfano hawa wanauza vitu amazon
 
Sio nzuri kiusalama kivipi?
Ninavyojua ni kwamba kabla hawajaruhusu pesa ikatwe kwenye account yako ya Airtel money, airtel ni lazima wakutumie OTP(password maalumu) ili uitumie kwenye online store unayonunulia bidhaa. Bila hiyo OTP huwezi kufanya online transaction yoyote ile.
Kuhusu refund kwa mfano AliExpress wameset mda wao kuanzia ndani ya siku tano mpaka ishirini za kazi Kama sijakosea tangu refund ikubalike ndio utaipata hiyo pesa kwenye account yako. Na huwa wanakutumia ARN number kwa ajili ya kufuatilia refund yako kwenye bank husika au mtandao husika ambapo pesa inatakiwa iingie. ARN number inatumwa pale ambapo refund imekamilika.

Mimi nimefanya transaction nyingi kupitia Airtel MasterCard kwenye store mbalimbali za AliExpress na sijawahi hata siku moja kupata Case ya pesa kutofika inapotakiwa iende.
 
Msaada ...nimerefund pesa kutoka aliexpress lakin card ime expire date ya airtel money...na seller amerefund kwenye account hiyo.... hiyo pesa itaingia au mpaka niende kwenye maduka yao
 
Msaada ...nimerefund pesa kutoka aliexpress lakin card ime expire date ya airtel money...na seller amerefund kwenye account hiyo.... hiyo pesa itaingia au mpaka niende kwenye maduka yao
Janga ulijisahau vipi mpaka ika expire mkuu badala uiendeleze binafsi nilisha refund pesa toka Ali express lakin kadi nilikua naifatilia isiishe muda kabla ya pesa yangu kuingia nilii iendeleza ila baada ya covid niliiacha ika expire
 
tatizo nilikuwa ninaamini mzigo utakuja..swala la kurefund halikuwepo sasa ndo imetokea...uwezo wa kupata upo au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…